Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,589
- 20,898
Naomba kuwashauri nida kwa kuwa na kwa vyovyote itakuwa ni vigumu sana kuweza kuhudumia umma ambao aujasajiliwa ningewashauri kwa wakati huu wa siku ishirini zilizobaki,waruhusu watu wote waliokuwa na vitambulisho vya kupigia kura waruhusiwe kuwa registered kwa ajili ya kupata namba ya nida,ispokuwa wavambatanishe vitambulisho hivyo na vyeti vyao vya kuzaliwa ama afidavity letter za mahakama pamoja na barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa wake,hill itapunguza figisu ambazo zipo kwa sasa,then deep vetting ndio iendelee katka kupata (Citizenship card).
Endapo mtu atabainika kudanganya na vetting ikamkamata huyu atasitahili achukuliwe kama muhalifu mtakatishaji fedha. na apatiwe adhabu kali vile inavyostahili.
Endapo mtu atabainika kudanganya na vetting ikamkamata huyu atasitahili achukuliwe kama muhalifu mtakatishaji fedha. na apatiwe adhabu kali vile inavyostahili.