Mimi ni mwanaccm nisiyepepesa macho. Unajua baada ya Mbowe kupata nafasi ya umwenyekiti uchaguzi wa kwanza alipata wabunge wangapi na madiwani ktk nchi nzima kama hujui jitahidi kufuatilia historia ya vyama vingine usiishi kwa mazoea kujifunza ni ni kujiondolea ukilema mku.aliemuingiza dr chadema sio ishu tunaangalia impact yake kwenye chama....Mbowe huyo huyo ndio aliemuingiza Lowasa ......tunajua dr alijiunga chadema baada ya kudhulumiwa kugombea ubunge karatu
Kiongozi bora Afrika Mashariki unambeza wakati amebadilisha Siasa za hapa nchini hivi ni sehemu gani ya nchi utazungumzia hiki chama hakipo na kukita mizizi kabisa. Mwisho tumewafunga spidi gavana kwa kazi kubwa aliyoifanya