Nawashauri CHADEMA iende mahakamani kupinga uteuzi wa wale wabunge 19

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu.

Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
 
Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini sheria itachukua mkondo wake.
Meno ya mbwa hayawezi kuumana. Hawatataka kuvuruga legacy ya mwendazake.

Odhis *
 
Walishashauliwa wakakaa kimya mmojawapo aliyewashauri ni aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chadema Peo. Safari
 
Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini sheria itachukua mkondo wake.
Majaji wa Tanzania hula kiapo cha utiifu kwa Rais na Covid19 walisimikwa kama wale wengine wa CCM walivyosimikwa hii ni baada ya kujikuta kanuni za Bunge zinawabana.
 
Back
Top Bottom