Nawashangaa wavaaji wengine wa barakoa

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,023
Unakuta mtu anaendesha gari yake yuko peke yake kafunga viyoo na kiyoyozi juu kavaa barakoa.
Unakuta mtu anatambea yuko mbugani peke yake kavaa barakoa.
Wanashindwa kujua vile virusi havipai kama mbu vinamwingia mtu ndani ya droplets baada ya mtu kupiga chafya au kukohoa au kushika sehemu vilipodondoka.
Njia kuu ni kuzivaa kwenye misongamano na ukikutana na watu mara kwa mara mfano traffick police,bank n.k
Ajabu pamoja na kwamba chanjo haijagunduliwa lakini kuviharibu ni rahisi sana maji na sabuni kuyeyusha futa au capsid ya nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuvaa Barakoa siyo tu kujilinda mwenyewe kutokana na droplets, inasaidia kuwalinda na wengine pia.

Unaweza Kuona Uko Peke Yako, Ukapiga Chafya au Kukohoa then mtu mwingine akaja eneo hilo au akapanda gari hilo akiwa peke yake akakutana na droplets zako au akaambukizwa
 
Unakuta mtu anaendesha gari yake yuko peke yake kafunga viyoo na kiyoyozi juu kavaa barakoa.
Unakuta mtu anatambea yuko mbugani peke yake kavaa barakoa.
Wanashindwa kujua vile virusi havipai kama mbu vinamwingia mtu ndani ya droplets baada ya mtu kupiga chafya au kukohoa au kushika sehemu vilipodondoka.
Njia kuu ni kuzivaa kwenye misongamano na ukikutana na watu mara kwa mara mfano traffick police,bank n.k
Ajabu pamoja na kwamba chanjo haijagunduliwa lakini kuviharibu ni rahisi sana maji na sabuni kuyeyusha futa au capsid ya nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunavaa hadi kwenye gari ilikuepuke vaa/vua kila mara. Unatoka na gari unaenda dukani utavaa na kuvua, unakutana na traffic anakusimamisha inabidi uvae tena. Kuepuka vaa/vua tunaamua kuvaa moja kwa moja.
 
Barakoa za Buza, mwenye picha aiweke hapa
1590467811527.png
 
Sasa unataka tusivae barakoa wakati wa kuendesha gari, huoni ikitokea umetoa lifti kwa mtu halafu anapoingia kwenye gari, ukiivaa hiyo barakoa ataona kama unamnyanyapaa!!

Wacha tuzivae 😷 bhana muda wote! Tumezizoea kwa sasa.
 
Uliza kwanza mkuu.
Barakoa ukisha vaa huruhusiwi kuigusa mpaka unawe kwa sabuni na maji tiririka au kitakasa mikono.
Sasa unakuta mtu hivyo vyote hana kwa muda huo au hataki usumbufu na atakutana na watu sio muda.
Labda kama yupo safari ndefu peke yake na hatasimama kwenye mji au kijiji.
Unakuta mtu anaendesha gari yake yuko peke yake kafunga viyoo na kiyoyozi juu kavaa barakoa.
Unakuta mtu anatambea yuko mbugani peke yake kavaa barakoa.
Wanashindwa kujua vile virusi havipai kama mbu vinamwingia mtu ndani ya droplets baada ya mtu kupiga chafya au kukohoa au kushika sehemu vilipodondoka.
Njia kuu ni kuzivaa kwenye misongamano na ukikutana na watu mara kwa mara mfano traffick police,bank n.k
Ajabu pamoja na kwamba chanjo haijagunduliwa lakini kuviharibu ni rahisi sana maji na sabuni kuyeyusha futa au capsid ya nje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Allah kariim
 
Capsid au amfifiro aliyoisema Gwajima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom