Nawashangaa wanaoshangaa Sumaye kuwa mwenyekiti wa kanda Chadema!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Kumekuwa na maoni tofauti na mijadala mingi tangu itangazwe rasmi kuwa Sumaye anawania uenyekiti wa kanda ya Pwani Chadema. Eti watu wanasema 'toka uwaziri mkuu hadi eunyekiti wa kanda'. Hapa wanataka kuonyesha ameshuka daraja.

Wapotoshaji hawa hawajiulizi hivi uenyekiti wa kanda ni ukuu wa mkoa? Angeshuka daraja kama angepewa cheo cha kiserikali kama ukuu wa mkoa na akaukubali. Mbona hawamshangai Kikwete kutoka rais hadi makamu mkuu wa Chuo? Hivi wanajua malengo ya Sumaye kisiasa? Au ni wivu tu wa kuona mtu mkubwa kama Sumaye anaenda kufanya active politics na Chadema? Au wanaoshangaa ni wale waliozusha propaganda za Lowassa na Sumaye kurudi Ccm?

Waliodhani mawaziri wakuu hawa wanabip wamechelewa kukata tamaa. Hawa wamedhamiria haswa kuanzisha himaya kubwa ya kisiasa nje ya Ccm. Subirini muone!
 
Du mbona unafananisha haki na batili, hakuna anayeshangaa Zaidi ya kujidhihirisha uroho wa hao watu katika madaraka ya nchi hii wao wanaona ni wao ndio wanaostahili lakini record zao haziwapi nafasi ya huo weledi unaowapa leo.

Zero alikuwa premier kwa miaka 10 na Chadema ilikuwepo haya mahaba ya ghafla aliyonayo kwa watanzania ndio yanayotia shaka. Siasa za maafali ndio ubunifu aliokuja nao hawa ni malofa tu.

Angeacha wengine wafanye siasa yeye alisha feli na wengine wamepiga hatua kubwa bila yeye na hata chadema akikosa cheo atahamia kwingine wapenda vyeo. Tanzania hakuna kanda na Sumaye sio mtu wa pwani na hajawahi kuwalingania watu wa pwani sema kwa kuwa chama cha watu wa kwao ndio wanapanga mitandao yao kule kwa wengine na mwisho wa siku watajikuta wote wanatoka huko huko kaskazini waweke akiba wakikumbushwa kwamba hiko chama hakifai sababu ya ukanda wasije rusha ngumi.

Angeacha watu wa pwani wajiwakilishe wenyewe kwani huko kaskazini hawajawahi kumpa nafasi mtu wa pwani hawawakilishe hata katika ngazi ya nyumba kumi.

Mawaziri hawa wakuu ni wepesi mno kuwashinda sababu hawana records of accomplishment ni wazeefu tu na sema wenzenu endeleeni kuleta maigizo.
 
Hakika msemo wa Kiswahili "Usiolijua ni sawa na usiku wa giza".
Mshipa ya shingo inawatoka kwa kuona watu wakijipanga kuchukua dola. Waacheni CHADEMA wapange yao, wachaguane, waimarishe Chama chao na hatimaye washinde Chaguzi. Hilo ndio lengo la kuwa Chama cha siasa.
 
Kumekuwa na maoni tofauti na mijadala mingi tangu itangazwe rasmi kuwa Sumaye anawania uenyekiti wa kanda ya Pwani Chadema. Eti watu wanasema 'toka uwaziri mkuu hadi eunyekiti wa kanda'. Hapa wanataka kuonyesha ameshuka daraja.

Wapotoshaji hawa hawajiulizi hivi uenyekiti wa kanda ni ukuu wa mkoa? Angeshuka daraja kama angepewa cheo cha kiserikali kama ukuu wa mkoa na akaukubali. Mbona hawamshangai Kikwete kutoka rais hadi makamu mkuu wa Chuo? Hivi wanajua malengo ya Sumaye kisiasa? Au ni wivu tu wa kuona mtu mkubwa kama Sumaye anaenda kufanya active politics na Chadema? Au wanaoshangaa ni wale waliozusha propaganda za Lowassa na Sumaye kurudi Ccm?

Waliodhani mawaziri wakuu hawa waAnabip wamechelewa kukata tamaa. Hawa wamedhamiria haswa kuanzisha himaya kubwa ya kisiasa nje ya Ccm. Subirini muone!

Hakuna lolote! Sumaye na Lowassa wana political frustrations baada ya kukosa Urais ndani ya CCM! CHADEMA haina jipya tena sasa inapitia tu ile njia waliyopitia NCCR Mageuzi na TLP kabla ya vifo vyao!
Ndio maana vijana visionary kama JJ Mnyika wako depressed maana hawaoni future ya CHADEMA tena ! Eti leo CHADEMA inategemea kujengwa na watu kama Tambwe Hizza na John Gunninita! WACHUMIA TUMBO hao!
Mfano Guninnita alikuwa CCM mwanzo akatoka akaenda CHADEMA,njaa ikampiga huko akarudi CCM, Lowassa akamrudisha, akamfuga hadi akapata Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam! Lowassa alipoliwa kichwa na JK akakimbia tena kumfuata Lowassa CHADEMA,Lowassa leo akifa (Mungu apishe mbali) na Guninnita anakufa!
CHADEMA kwisha hamna tena vision wala strategy yoyote ya maana!
Mbaya zaidi CHADEMA imejaa vijana wengi wababaishaji ,wachovu wa akili na wasio na uwezo wa kubuni hata miradi midogo midogo ya kujikimu mitaani baada ya kukosa ajira! Ni mijazba na hasira kwa kwenda mbele! Pipooooooooozzz! Ni wapiga kelele na miayo tu kama hivyo tu !
Ndio maana unasikia hao BAVICHA wanatishia kwenda kuvuruga Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma! HAWANA KAZI!
 
Du mbona unafananisha haki na batili, hakuna anayeshangaa Zaidi ya kujidhihirisha uroho wa hao watu katika madaraka ya nchi hii wao wanaona ni wao ndio wanaostahili lakini record zao haziwapi nafasi ya huo weledi unaowapa leo. Zero alikuwa premier kwa miaka 10 na Chadema ilikuwepo haya mahaba ya ghafla aliyonayo kwa watanzania ndio yanayotia shaka. Siasa za maafali ndio ubunifu aliokuja nao hawa ni malofa tu. Angeacha wengine wafanye siasa yeye alisha feli na wengine wamepiga hatua kubwa bila yeye na hata chadema akikosa cheo atahamia kwingine wapenda vyeo. Tanzania hakuna kanda na Sumaye sio mtu wa pwani na hajawahi kuwalingania watu wa pwani sema kwa kuwa chama cha watu wa kwao ndio wanapanga mitandao yao kule kwa wengine na mwisho wa siku watajikuta wote wanatoka huko huko kaskazini waweke akiba wakikumbushwa kwamba hiko chama hakifai sababu ya ukanda wasije rusha ngumi. Angeacha watu wa pwani wajiwakilishe wenyewe kwani huko kaskazini hawajawahi kumpa nafasi mtu wa pwani hawawakilishe hata katika ngazi ya nyumba kumi.

Mawaziri hawa wakuu ni wepesi mno kuwashinda sababu hawana records of accomplishment ni wazeefu tu na sema wenzenu endeleeni kuleta maigizo.
Umemaliza kuandika upuuzi wako tukuulize maswali kadhaa? Hivi mwenyekiti wa Ccm mkoa wa Dar es Salaam ni mzaramo? Mkikosa cha kukosoa kaa kimya! Kama kuhama chama ni uchu wa madaraka mbona Shonza na Mwampamba mmewapa vyeo? Comment hovyo kabisa
 
Chadema kwa kweli imepotoka kwani utendaji kazi wa hao wakuu kipindi cha uongozi haukuwa na positive impact ktk jamii kwani ulijamaa dhuruma,ufisadi,nidhamu mbaya kwa watumishi,hivyo sizani kuwa ndani ya chadema hakuna ushawishi wowote kwa wananchi isipokuwa wanapaka matope chadema.
 
Sumaye na Lowasa wamefilisika kisiasa hawana jipya wamesababisha Chadema imepoteza mvuto
 
Hakuna lolote! Sumaye na Lowassa wana political frustrations baada ya kukosa Urais ndani ya CCM! CHADEMA haina jipya tena sasa inapitia tu ile njia waliyopitia NCCR Mageuzi na TLP kabla ya vifo vyao!
Ndio maana vijana visionary kama JJ Mnyika wako depressed maana hawaoni future ya CHADEMA tena ! Eti leo CHADEMA inategemea kujengwa na watu kama Tambwe Hizza na John Gunninita! WACHUMIA TUMBO hao!
Mfano Guninnita alikuwa CCM mwanzo akatoka akaenda CHADEMA,njaa ikampiga huko akarudi CCM, Lowassa akamrudisha, akamfuga hadi akapata Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam! Lowassa alipoliwa kichwa na JK akakimbia tena kumfuata Lowassa CHADEMA,Lowassa leo akifa (Mungu apishe mbali) na Guninnita anakufa!
CHADEMA kwisha hamna tena vision wala strategy yoyote ya maana!
Mbaya zaidi CHADEMA imejaa vijana wengi wababaishaji ,wachovu wa akili na wasio na uwezo wa kubuni hata miradi midogo midogo ya kujikimu mitaani baada ya kukosa ajira! Ni mijazba na hasira kwa kwenda mbele! Pipooooooooozzz! Ni wapiga kelele na miayo tu kama hivyo ! !
Ndio maana unasikia hao BAVICHA wanatishia kwenda kuvuruga Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma! HAWANA KAZI!
 
Hakuna lolote! Sumaye na Lowassa wana political frustrations baada ya kukosa Urais ndani ya CCM! CHADEMA haina jipya tena sasa inapitia tu ile njia waliyopitia NCCR Mageuzi na TLP kabla ya vifo vyao!
Ndio maana vijana visionary kama JJ Mnyika wako depressed maana hawaoni future ya CHADEMA tena ! Eti leo CHADEMA inagemea kujengwa na watu kama Tambwe Hizza na John Gunninita! WACHUMIA TUMBO hao!
Mfano Guninnita alikuwa CCM mwanzo akatoka akaenda CHADEMA,njaa ikampiga huko akarudi CCM, Lowassa akamrudisha, akamfuga hadi akapata Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam! Lowassa alipoliwa kichwa na JK akakimbia tena kumfuata Lowassa CHADEMA,Lowassa leo akifa (Mungu apishe mbali) na Guninnita anakufa!
CHADEMA kwisha hamna tena vision wala strategy yoyote ya maana!
Mbaya zaidi CHADEMA imejaa vijana wengi wababaishaji ,wachovu wa akili na wasio na uwezo wa kubuni hata miradi midogo midogo ya kujikimu mitaani baada ya kukosa ajira! Ni mijazba na hasira kwa kwenda mbele! Pipooooooooozzz! Ni wapiga kelele na miayo tu kama hivyo tu !
Ndio maana unasikia hao BAVICHA wanatishia kwenda kuvuruga Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma! HAWANA KAZI!
Guninita alikuwa mwenyekiti wa Ccm Dar na Tambwe Hiza alilkuwa mkuu wa kitengo cha propaganda makao makuu Ccm. Mbona hatukusikia mnawaita wachumia tumbo wakati huo? Unasema Bavicha hawana kazi ndiyo maana wanaenda Dodoma, hivi ni kijana gani ana kazi Tanzania hii? Au tumuulize Nape tangu amekuwa waziri ana mkakati gani wa kutengeneza ajira kwa vijana?
 
Hakika msemo wa Kiswahili "Usiolijua ni sawa na usiku wa giza".
Mshipa ya shingo inawatoka kwa kuona watu wakijipanga kuchukua dola. Waacheni CHADEMA wapange yao, wachaguane, waimarishe Chama chao na hatimaye washinde Chaguzi. Hilo ndio lengo la kuwa Chama cha siasa.
Ukiona adui yako anaweweseka kwa maamuzi yako ujue umemshika pabaya, na kinyume chake by Magu
 
Umemaliza kuandika upuuzi wako tukuulize maswali kadhaa? Hivi mwenyekiti wa Ccm mkoa wa Dar es Salaam ni mzaramo? Mkikosa cha kukosoa kaa kimya! Kama kuhama chama ni uchu wa madaraka mbona Shonza na Mwampamba mmewapa vyeo? Comment hovyo kabisa

Kina Shonza na Mwampamba wamehama wakiwa vijana na bado wanao muda wa kujifunza, hawa mbwa wazee kufundisha mbinu mpya haiwezekani na walishapata nafasi ya kuonyesha weledi wao na aliowateua na kudhani wangekuwa na manufaa na taifa hili anawaita malofa itakuwa wewe nyangalakata.

Comment hii siyo ya hovyo ni kutoka kwa mtu anayefikiri tofauti na wewe ndio tatizo lako umepost kupata mawazo tofauti ni JF pekee ndio kuna mawazo tofauti katika chama chenu wewe huna ruhusa ya kutoa mawazo tofauti unadumisha fikra tu za mwenyekiti wenu. CCM hawana kanda!
 
Back
Top Bottom