"Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

Mama yenu Mujahidina toka akiwa makamu alikuwa hasemi Bwana Yesu asifiwe..Wazanzibar inatosha mko 1.5 m hamuwezi kuongoza watu 60 m..2025 iwe mwisho hatutaki raisi mzee
 
Mama yenu Mujahidina toka akiwa makamu alikuwa hasemi Bwana Yesu asifiwe..Wazanzibar inatosha mko 1.5 m hamuwezi kuongoza watu 60 m..2025 iwe mwisho hatutaki raisi mzee
akishasema hivyo kisha mumpe na ngeruwe eh? kwenye hao milioni 60 hakuna waislamu? acha fikra za kijinga za kidini
 
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.

1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.

2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.

3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.

Bwana Sifiwe, Asalamu Aleikumu
Kweli kabisa kazi gani iendelee? Ile vurugu ya jpm?!
 
Back
Top Bottom