Nawasalimia dada zangu waliolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume wanao fanya kazi hizi

Mambo vip guys...........Nimewamith sana Leo nina kastory kadogo tu, Pia nimekuja kuwapa hai wadada walio olewa na wanaume wenye kazi kama hizi kwa uchache tu, Nitaziorodhesha chache sio zote pia usisahau kutoa maoni yako.

MADEREVA:
Hasa wa mabasi yanayoenda mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine sio daladala za hapa Dar, hapa kama huna roho ya chuma maana ukikubali kuolewa na madereva basi kubali kuwa mke wa 100 maana kila mkoa ana mke kila mji, kila kijiji, Ana mwanamke.

MADEREVA TAX NA BODABODA:
Bodaboda hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushere mapenzi na watoto wa shule yaani vibint, wanafunzi wa secondary mama nitilie na waudumu wa Bar.

ASKARI POLICE:
Hawa wanapenda wanawake wa kila aina harafu hawana huruma hata kidogo kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida tu, pia hata mkizinguana haishi vitisho kama upo mpakani mwa pacstan yaani hata kama ni mpya.

MAFUNDI GEREGE:
Hawa bwana ni waongo kupitiliza ukishakuwa nae tu kwenye mahusiano atakutangaza kwa kila mtu anayefanya nae kazi, anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi yaani ni mwiko kwao kuacha pesa ya matumizi nyumbani.

WAHUDUMU WA AFYA MADAKTARI:
Hawa hawana mda wa kuwaza mahusiano yao kila mda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo tu na akipunzika ataki bughudha yoyote, anataka apunzike mwenyewe tu.

WANAJESHI:
Aaah ah ah ah ah Dada zangu mliopo karibu na kambi za jeshi nadhani hata nikiwauliza chochite kuhusu hawa jamaa mtajibu vizuri mno hawa jamaa some of theme wanabadilisha wadada kama nguo.

Kazi yoyote ambayo mwanaume atakaa mbali na mpenzi wake Au mke wake ah ah aha Aah! Uaminifu oyeeee sem oyoo tunaamini tu ila ukirudi kwenye ukweli moyo utaumia mpk utasema sitapenda tena, kwa vile tabia njema Au mbaya ni matokeo ya malezi mumeo au mpenzi wako basi sio wote wenye hizi tabia.
Nilikua natania tu

ZINGATIA HII...Ukiona huwezi umia tena kwenye mapenzi kama zamani jua umeanza kuwa MALAYA
Aaah Ah ah ah Utani tu.
USIKU MWEMA

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
We utawaowa wote? Kuna watu ni wafanyabishara wanamichepuko kila mkoa/wilaya anayoenda, kuna watu ni wafanyakazi/watumishi wanamichepuko ya kutosha unaweza kukuta mkoa kama Dar jamaa anavipozeo kama 7 hivi.
 
Back
Top Bottom