Nawapongeza Wakristo kwa mambo haya

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,655
4,298
Ukristo ni dini ya kupongezwa kwenye hii dunia.

Na pasingelikuwepo ukristo kuna mataifa ambayo yangekuwa magumu kuishi kutokana na itikadi za dini fulani
Lakini ukristo umewafanya watu kuwa huru.

Katika mataifa ya kikristo ni vigumu kusikia mtu kakatwa mguu au kapigwa au kaukumiwa kisa katukana kristo au kuchana biblia au kucheza ndani ya kanisa.

Ni vigumu kuona viongozi wakikristo wanao jielewa wakizungumzia imani ya watu wengine au ku attacks imani za watu wengine au kukashifu Imani za watu wengine labda wakristo Bandia ndo wanafanya ivo.

Ni rahisi saana kuanzisha dini au Imani nyingine katika mataifa ambayo kuna ukristo wakristo wengi.

Mara nyingi wakristo sio watu wakulalamika pale wanapo kuwa wanateswa na kukandamizwa katika mataifa ambayo kuna itikadi ya dini fulani.

Na wapongeza wakristo
Galatia
3:13

Kristo alitukomboa katika laana ya torati
 
dini zinatenganisha watu,

kataa dini zote!!

Apana kiongozi ukristo ni watu wa Amani saana sio Kama wale watu wa upande wa pili
Wanaweza kumtenga mtu kisa kabadirisha dini
Wanaweza kumuua mtu kisa kachezea kitabu chao

Wanaweza kumnyonga mtu kisa katukana Nabii wao
Ni wanguzi saana katika mataifa Yao ni vigumu kuanzisha imani nyingine tofauti na mataifa yao

Mfano ni kwa Davido ona jinsi wanavyo mnyanyanyasa kisa tu kacheza juu ya msikiti
 
kwahiyo dini ipi ndo sahihi??
 
Ukristo ni dini ya kupongezwa kwenye hii dunia.

Na pasingelikuwepo ukristo kuna mataifa ambayo yangekuwa magumu kuishi kutokana na itikadi za dini fulani
Lakini ukristo umewafanya watu kuwa huru.

Katika mataifa ya kikristo ni vigumu kusikia mtu kakatwa mguu au kapigwa au kaukumiwa kisa katukana kristo au kuchana biblia au kucheza ndani ya kanisa.

Ni vigumu kuona viongozi wakikristo wanao jielewa wakizungumzia imani ya watu wengine au ku attacks imani za watu wengine au kukashifu Imani za watu wengine labda wakristo Bandia ndo wanafanya ivo.

Ni rahisi saana kuanzisha dini au Imani nyingine katika mataifa ambayo kuna ukristo wakristo wengi.

Mara nyingi wakristo sio watu wakulalamika pale wanapo kuwa wanateswa na kukandamizwa katika mataifa ambayo kuna itikadi ya dini fulani.

Na wapongeza wakristo
Galatia
3:13

Kristo alitukomboa katika laana ya torati

1 Umesahau huko huko Ulaya ,kijana wa kizungu,waliwamiminia risasi,waumini wenzake weusi.Ni waumini wenzake,lakini kosa lao ni kuumbwa weusi.

2.Umemsahau Askofu Kibwetere(kiongozi wa kikristo),alivyowafungia kanisani waumini na kuwachoma moto huko Uganda,akawauwa maelfu,watoto,wanawake,wazee na wenngineo,mbali makaburi taliyokutwa jirani na kanisa lake.

3.Umesahau vita vya waprotestant na wakatoliki,huko Ireland ya kaskazini,iliyoua wengi na kuwacha wengi vilema

4.Umesahau Rwanda,walivyouna maelfu, na kwa Padre(kiongozi wa kanisa),alivyowamiminia risasi wakimbizi kanisani,na kuwauwa na wengine kuachwa vilema.

5.Umesahau Sudani kusini,wakristo walivyouana na wengi kuwacha vilema.

6.Unemsahau Hitler,alivyowauwa Wayahudi,kwa kuwakusanya kwenye uwanja na kuwamwagia mafuta na kuwachoma.

7.Umesahau hapo Kenya,vurugu zilizotekea,na kuuana.

8.Umemsahau mchungaji Ezakiel,hapo Kenya alivyowauwa wafuasi wake,kwa kuwaeka na njaa porini .

9 Umesahau vita vya msalaba,vilivyopiganwa,na kuuwa wengi na wengi kuwacha na vilema.

10.Vita vya kwanza vya dunia,vilianza kwenye nchi hizo za ulaya.

11.Vita vya pili vya dunia,vilianza huko ulaya.

12.Vita ya America na Bomu huko Hiroshima,na kupigwa bomu la atomic,ni huko ulaya,mpaka leo watoto wanazaliwa vilema.

13.Nk
 
Dini za kuletewa zimetuharibu waafrica
1.Zamani tulitambuana kupitia majina, ukisikia mtu anaitwa Rutahinzibwa unajua huyu ni muhaya,au ukisikia Shehoza unajua huyu msambaa lkn leo hii majina ni ya kizungu na kiarabu
2. Ndoa za asili (Traditional marriage), zamani kabla hawajaja na dini zao waafrica tulikua na utaratibu wetu wa kufunga ndoa kutegemeana na kila kabila,lkn ujio wa waarabu na wazungu wakatuletea utaratibu wao wa kufunga ndoa tukaacha taratibu zetu.
3. Kabla ya ujio wao waafrica tulikua na imani zetu na mambo yalikwenda vizuri tu, lkn baada ya kuja wao tukaonekana imani zetu ni za kishenzi na za uongo (utasema za kwao ni kweli )
4. Dini zimetugawa waafrica, muislam ndugu yake ni muarabu na mkristo ndugu yake ni mzungu. Tunafuata taratibu zao za maisha tumeacha za kwetu

Mambo ni mengi lkn kiufupi hizi dini zote ni za kufikirika tu hazina ukweli wowote, kijana KATAA DINI
 
Amesema dini ya kikristo hajasema wakristo, hao ni watu kila mtu ana tabia zake. Taja nchi ya kikristo ambayo uislam unakatazwa, au kwamba ukijenga msikiti ni kosa kisheria au ukiwa muislam na kusali hadharani ni kosa. Lakini za kiislam zinazopiga marufuku ukristo zipo na wewe unazijua.
 
Amesema dini ya kikristo hajasema wakristo, hao ni watu kila mtu ana tabia zake. Taja nchi ya kikristo ambayo uislam unakatazwa, au kwamba ukijenga msikiti ni kosa kisheria au ukiwa muislam na kusali hadharani ni kosa.
1.
Huko Sweden juzi tu hapo,Qur'an imechomwa,na Polisi wakalinda wqchomaji,bila kuwachukulia hatua yoyote.
2.
Huko huko ulaya,mara ngapi,wanawake na wanafunzi wa kiislamu walizuia kuvyaa mavazi yao ya kiislamu
3.Huko huko ulaya,waislamu walipigwa risasi ndani ya msikiti.Na mpigaji sio muislamu
WKUKATAAYE HAKUAMBII TOKA,UTAONA MAMBO YAKE YALIVYO.
 
Kikubwa iman kama iman hakuna hauwezi fanya chochote. Ukrsto ni dini ya wasanii sio din ya mungu hivyo haiwezi pandisha iman kwenye mioyo ya waumini wake kiasi cha kuitetea kwa namna yeyote ile
 
1.
Huko Sweden juzi tu hapo,Qur'an imechomwa,na Polisi wakalinda wqchomaji,bila kuwachukulia hatua yoyote.
2.
Huko huko ulaya,mara ngapi,wanawake na wanafunzi wa kiislamu walizuia kuvyaa mavazi yao ya kiislamu
3.Huko huko ulaya,waislamu walipigwa risasi ndani ya msikiti.Na mpigaji sio muislamu
WKUKATAAYE HAKUAMBII TOKA,UTAONA MAMBO YAKE TALIVYO.
Bado hujaelewa kuchomwa moto quran hiyo imefanywa na mtu na sheria zao hazikatazi, kuvaa hijab hizo ni taratibu zao, lakini uislam unaruhusiwa hayo ya kupiga watu risasi hao ni watu hawajatumwa na dini ya kikristo. Ndomana nimekwambia sema nchi gani ya kikristo ambayo ni marufuku kupractice uislam? We sema tu hakuna usitafute sababu kupitia matendo ya wakristo kwa waislam hayo yapo na sidhani kama yataisha kwasababu watu tuna uelewa tofauti tofauti
 
Ukristo ni dini ya kupongezwa kwenye hii dunia.

Na pasingelikuwepo ukristo kuna mataifa ambayo yangekuwa magumu kuishi kutokana na itikadi za dini fulani
Lakini ukristo umewafanya watu kuwa huru.

Katika mataifa ya kikristo ni vigumu kusikia mtu kakatwa mguu au kapigwa au kaukumiwa kisa katukana kristo au kuchana biblia au kucheza ndani ya kanisa.

Ni vigumu kuona viongozi wakikristo wanao jielewa wakizungumzia imani ya watu wengine au ku attacks imani za watu wengine au kukashifu Imani za watu wengine labda wakristo Bandia ndo wanafanya ivo.

Ni rahisi saana kuanzisha dini au Imani nyingine katika mataifa ambayo kuna ukristo wakristo wengi.

Mara nyingi wakristo sio watu wakulalamika pale wanapo kuwa wanateswa na kukandamizwa katika mataifa ambayo kuna itikadi ya dini fulani.

Na wapongeza wakristo
Galatia
3:13

Kristo alitukomboa katika laana ya torati
Dini ya bwana makenzi ambaye amewaua waumini wapumbavu wa kikristo,dini ya kikristo ya mauaji ya kimbali,dini ya bwana kibwetere,dini ya kikistro inayosupport ushoga
 
Ukristo ni dini ya kupongezwa kwenye hii dunia.

Na pasingelikuwepo ukristo kuna mataifa ambayo yangekuwa magumu kuishi kutokana na itikadi za dini fulani
Lakini ukristo umewafanya watu kuwa huru.

Katika mataifa ya kikristo ni vigumu kusikia mtu kakatwa mguu au kapigwa au kaukumiwa kisa katukana kristo au kuchana biblia au kucheza ndani ya kanisa.

Ni vigumu kuona viongozi wakikristo wanao jielewa wakizungumzia imani ya watu wengine au ku attacks imani za watu wengine au kukashifu Imani za watu wengine labda wakristo Bandia ndo wanafanya ivo.

Ni rahisi saana kuanzisha dini au Imani nyingine katika mataifa ambayo kuna ukristo wakristo wengi.

Mara nyingi wakristo sio watu wakulalamika pale wanapo kuwa wanateswa na kukandamizwa katika mataifa ambayo kuna itikadi ya dini fulani.

Na wapongeza wakristo
Galatia
3:13

Kristo alitukomboa katika laana ya torati
Acha siasa za dini

Dini zinakufanya uwe ignorant, na kamwe hutokuja kuuelewa ulimwengu kwa hakika.

Humuhumu baada ya muda mtaanza kukashifiana kisa wewe umekuja kusifia dini flani.

Wote ninyi ni Waafrica, mtambuane kwa uafrica wenu siyo dini.
Msikubali kutukanana ama kuuana kisa dini.

# Kataa dini
_20230722_204701.JPG
 
Dini za kuletewa zimetuharibu waafrica
1.Zamani tulitambuana kupitia majina, ukisikia mtu anaitwa Rutahinzibwa unajua huyu ni muhaya,au ukisikia Shehoza unajua huyu msambaa lkn leo hii majina ni ya kizungu na kiarabu
2. Ndoa za asili (Traditional marriage), zamani kabla hawajaja na dini zao waafrica tulikua na utaratibu wetu wa kufunga ndoa kutegemeana na kila kabila,lkn ujio wa waarabu na wazungu wakatuletea utaratibu wao wa kufunga ndoa tukaacha taratibu zetu.
3. Kabla ya ujio wao waafrica tulikua na imani zetu na mambo yalikwenda vizuri tu, lkn baada ya kuja wao tukaonekana imani zetu ni za kishenzi na za uongo (utasema za kwao ni kweli )
4. Dini zimetugawa waafrica, muislam ndugu yake ni muarabu na mkristo ndugu yake ni mzungu. Tunafuata taratibu zao za maisha tumeacha za kwetu

Mambo ni mengi lkn kiufupi hizi dini zote ni za kufikirika tu hazina ukweli wowote, kijana KATAA DINI
Tumetawaliwa kifikra na kitamaduni leo hii kwenda kulimia makaburi ya wapendwa wetu tunaambiwa tunafanya ibada za mizimu wakati wao wanaenda Vatican,Macka na Israhel kuhiji,mwafrika mtanzania mwezangu amka amka amka
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom