Nawapongeza sana Madaktari hawa wa Saudia Arabia, Mungu awabariki!

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
9,020
8,480
Screenshot_20181228-213433_Instagram.jpg
 
Kitabu kile hakijaacha kitu! Kimezungumzia kila kitu, fani zote hadi utabibu umo ndani ya Kitabu kile. Hope hawa mabingwa wametumia aya za Kitabu kile na sio utaalamu wa kikafir kufanikisha utabibu walioufanya. Hata hivyo hongera zao kwa kuokoa maisha badala ya kuyapoteza kama wafanyavyo wenzao wa nasaba hiyo.
 
ukifatilia taaluma za hao madaktari utakuta wamesome kwa uwaitao ma kafiri hahhahahah utoto raha sana
 
Kitabu kile hakijaacha kitu! Kimezungumzia kila kitu, fani zote hadi utabibu umo ndani ya Kitabu kile. Hope hawa mabingwa wametumia aya za Kitabu kile na sio utaalamu wa kikafir kufanikisha utabibu walioufanya. Hata hivyo hongera zao kwa kuokoa maisha badala ya kuyapoteza kama wafanyavyo wenzao wa nasaba hiyo.
Utaalamu wa kikafiri ndio upi?
 
Athari za michezo ya Tel Aviv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haitapata wachangiaji mkuu sababu;

1 Madaktari ni waarabu na sio wazungu,myahudi wala waafrika. Hapo ndio utambue kuwa waarabu wanachukiwa sana na pande zote 3.ndio maana comments ni chache sana.
Bora useme kabisa kuwa unataka ulete agenda ya udini.
 
Kitabu kile hakijaacha kitu! Kimezungumzia kila kitu, fani zote hadi utabibu umo ndani ya Kitabu kile. Hope hawa mabingwa wametumia aya za Kitabu kile na sio utaalamu wa kikafir kufanikisha utabibu walioufanya. Hata hivyo hongera zao kwa kuokoa maisha badala ya kuyapoteza kama wafanyavyo wenzao wa nasaba hiyo.
Kwa hiyo na wewe unaweza ukafanya upasusji kama ule. Kwa nini hamkuungana nyingi wenyewe nchi nzima na kuwafanyia wale watoto upasusji?
 
Back
Top Bottom