Uchaguzi 2020 Nawapongeza CHADEMA kwa maamuzi yenu, mmejitathimini na mmegundua madhaifu yenu na kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Baada ya CHADEMA kujitathimini na kugundua kuwa hawajajiandaa kwa uchaguzi wa wa serikali za mitaa mwaka huu na Kupelekea kujitoa binafsi nawapongeza sana kwani suala la Uchaguzi linahitaji maandalizi na Si Ulaghai ukizingatia wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana.

Watanzania wengi wametambua Juhudi za Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli na Serikali yake iliyofanya makubwa na kutimiza shauku za Watanzania wengi walizokua nazo kwa miongo kadhaa.

Binafsi naipongeza Ngome ya CHADEMA mara baada ya Kujitathimini na kujiona hawatoshi na kujitoa katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamefanya Forecast ambayo ina Manufaa kwa Nchi.
6F0530A0-019D-4D75-BC58-3D1B02C3797A.jpeg
 
Pongezi peleka Lumumba kwa kupita bila ku kupingwa. Mostly electoral rigging results national violence. Be ware.
Acha Kuiombea mabaya Tanzania si siri kila mtu anafahamu kuwa Upinzania hauna hoja tena.
 
Ameandika Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza

*TUJIULIZE ZAIDI*

1. Hivi CHADEMA wamejitoa au wametolewa?

2. Hivi CHADEMA wamesusa au wamesuswa?

3. Hivi CHADEMA wameacha au wameachwa?

Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu.

- Media haiko na wapinzani
-Msajili hayuko na wapinzani
-Mahakama haiko na wapinzani
-Vyombo vya dola haviko na wapinzani
-Viongozi wa dini hawako na wapinzani
-Asasi za Kiraia haziko na wapinzani
-Bunge haliko na wapinzani
-Tume ya Uchaguzi haiko na wapinzani
-Wazee mashuhuri hawako na wapinzani
-Wana taaluma hawako na wapinzani
-Wasimamizi wa chaguzi hawako na wapinzani
-Walinzi wa amani hawako na wapinzani
-Waajiri hawako na wapinzani
-Mashirika yasiyo ya kiserikali hayako na wapinzani
-Wapinzani hawako na wapinzani.
-Hata mimi siko nao, naandika kujipendekeza kwao!

Hii inaitwa unyanyapaa (stigmatization) Kwa hiyo walichokifanya, kwa maoni yangu:

Hawakujitoa, wametolewa
Hawakususa, wamesuswa
Hawakuacha, wameachwa

Kimya cha makundi yote hapo, tafsiri yake ni kuwasusa, kuwaacha, kuwatoa katika mchakato wa kidemokrasia, na kupuuza madai yao. Walio wengi, wanaona ni salama ama kukaa kimya au kuwalaumu na kuwakejeli.

Watu, kundi au mtu aliye katika hali hii ya kuachwa, ni hatari kwa jamii, ni hatari kwa nafsi yake mwenyewe na mara nyingi hujikinai.

Baba wa Taifa aliwahi kusema,

"Amani ni tunda la haki. Palipo na amani kuna haki na palipo na haki kuna amani. Tanzania tuna amani lakini haina maana kuwa haki inatendeka. Kinachotokea ni kuwa, watu wana matumaini kuwa haki itatendeka siku moja. Watu hawa siku wakikata tamaa kuwa haipo, yatatokea maafa makubwa sana. Viongozi wana jukumu la kuhakikisha matumaini ya watu kupata haki hayapotei".

Dumisha Uhuru na Umoja,
Wake kwa waume na watoto,
_Mungu Ibariki Tanzania._
 
Baada ya CHADEMA kujitathimini na kugundua kuwa hawajajiandaa kwa uchaguzi wa wa serikali za mitaa mwaka huu na Kupelekea kujitoa binafsi nawapongeza sana kwani suala la Uchaguzi linahitaji maandalizi na Si Ulaghai ukizingatia wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana.

Watanzania wengi wametambua Juhudi za Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli na Serikali yake iliyofanya makubwa na kutimiza shauku za Watanzania wengi walizokua nazo kwa miongo kadhaa.

Binafsi naipongeza Ngome ya CHADEMA mara baada ya Kujitathimini na kujiona hawatoshi na kujitoa katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamefanya Forecast ambayo ina Manufaa kwa Nchi.
View attachment 1258654
Haya ndio makao makuu ya chama, wakati mpunga wote wa Ruzuku wanakula wachache, na kuna Watanzania wanatetea huu ujuha! Aibu.
 
Baada ya CHADEMA kujitathimini na kugundua kuwa hawajajiandaa kwa uchaguzi wa wa serikali za mitaa mwaka huu na Kupelekea kujitoa binafsi nawapongeza sana kwani suala la Uchaguzi linahitaji maandalizi na Si Ulaghai ukizingatia wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana.

Watanzania wengi wametambua Juhudi za Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli na Serikali yake iliyofanya makubwa na kutimiza shauku za Watanzania wengi walizokua nazo kwa miongo kadhaa.

Binafsi naipongeza Ngome ya CHADEMA mara baada ya Kujitathimini na kujiona hawatoshi na kujitoa katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamefanya Forecast ambayo ina Manufaa kwa Nchi.
View attachment 1258654
We kenge tu bora ungekaa kimya mana unatoa maushuzi tu
 
Baada ya CHADEMA kujitathimini na kugundua kuwa hawajajiandaa kwa uchaguzi wa wa serikali za mitaa mwaka huu na Kupelekea kujitoa binafsi nawapongeza sana kwani suala la Uchaguzi linahitaji maandalizi na Si Ulaghai ukizingatia wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana.

Mkuu ulishapata kazi? Au uliamua kuajiriwa LUMUMBA na kuridhika na ujira wa BUKU 7 CASH?.

Haya ndio makao makuu ya chama,wakati mpunga wote wa Ruzuku wanakula wachache, na kuna Watanzania wanatetea huu ujuha! Aibu.

Mkuu ni kweli, hebu weka ule uwanja wa kimataifa kule chattle tuone watalii wakishuka. Au hiyo airport haina watetezi?
 
Mkuu ulishapata kazi? Au uliamua kuajiriwa LUMUMBA na kuridhika na ujira wa BUKU 7 CASH?.

Kuna kipindi alisema hataandika chochote kuhusiana na mada za siasa..ngoja niitafute ile thread yake hahaaaaaahaaa
 
Mbele ya chakula unaonyesha ulafi na kutafuta mbinu mwenzako asile.
Anaamua isiwe tabu, kula basi chakula chote ushibe.
Unaachiwa nawe unaanza tena kulalamika kwa nini umeachiwa sii waungwana watakuona mlafi!
 
Pongezi peleka Lumumba kwa kupita bila ku kupingwa. Mostly electoral rigging results national violence. Be ware.
Electoral rigging wakati umejitoa mwenyewe. Yaani uombe talaka mwenyewe halafu mumeo akioa tena unaenda kuleta vurugu.
 
Hao kihistoria wanafahamika tabia ya kujitoa toa. Lakini inafahamika wazi chadema na ACT kwa sasa havina pesa. Mwaka jana zitto alifungua akaunti kuomba wachangiwe uchaguzi kule temeke. Kwa sasa wamepata sababu. Miaka kadhaa nyuma wakati wana pesa ungeona amsha amsha kama wangeondolewa kama hivi.
Nchi isingetosha.
 
Makao makuu miaka 26hakika ni wakora wabobezi

Back
Top Bottom