Nawapongeza akina dada na kina mama kwa moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawapongeza akina dada na kina mama kwa moyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Jan 28, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Napenda kuwapongeza akina dada na kina mama kwa moyo wenu wa uvumilivu katika Jahazi la mahaba kwa kuwa na mioyo yenu ya kusamehe na kupiga moyo konde ndio maana mahusiano mengi yanayumba lakini mnayaokoa tena Jahazi lisizame.
  Wiki mbili zilizo pita nilishuhudia dada mmoja aitwae Aika akidundwa na Buzi wake kwa kile kilicho tokea kutopokea cmu ya X boyfriend wake, alikuwa anapigiwa cmu wkt jamaa ana download mjengo ikamlazimu akatishe kudownload na kumlazimu Aika apokee cmu lakini alikataa ikabidi buzi lipokee kupokea yule X boyfriend ikamlazimu akate cmu akapiga tena Buzi likamwamulu apokee Aika alikataa kata kata jamaa akaanza kumshushia mvua ya makonde mpaka Aika akazimia sisi kama wasamaria wema tukajitolea kwenda kumtibia Hospitali huku tukiamini Aika atamdiss yule Buzi alipigwa drip kadhaa na alikaa karibia siku 4 hatoki njee kipigo kilikuwa kizito kinakaribiana na cha wale wanajeshi walio mshushia Fundikira.
  Jana sikuamini macho yangu Aika yupo na hilo buzi huku akimung'unya koni gizani kweli naamini akina dada mna mioyo mkipenda kweli mmependa licha ya kupata kipigo na misuko suko ya hapa na pale.
  Sinabudi kuwapongeza akina dada na mama kwa uvumilivu na kupenda kwa dhati.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hivi mbona mnapenda kutuangushia kipigo lakini?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tatizo lenu mnaamini ndio siri ya upendo ndo unaongeza upendo mara dufu
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nadhani Aika alikitaka hicho kichapo; kwa nini akate kama hakuna kinachoendelea na huyo X wake?

  Kina mama msiiwashe hasira kwa kujitakia namna hii!
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mi nina matatizo ya macho.... hutwo tuneno ndo tunamaanisha nini Fidel?
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Mafuta ya gari, bili za maji, umeme, DSTV, kodi ya nyumba, shopping za nguvu ndizo zinamnyima uhuru huyo Aika kwa hilo so called Buzi lake. Angekuwa mwanamke huru wala asingerudi kwa huyo buzi!
   
 7. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hahahahahahah! Wewe binti nawe umeanza kunywa valuu nini siku hizi? Maana huishi vituko! Nimecheka sana! :) [​IMG]
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Sio kweli! Hapo hakuna upendo wowote kuna mkataba kati ya Aika na buzi lake ambao una maslahi ya kumwezesha Aika kuishi vizuri hapa mjini!
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kaka wee si unajua tena Plisner Ice hazipo siku hizi
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Tehetehetehe! Kama ni hivyo basi karibu kwenye Ndovu mpya a.k.a Heineken Chipolopolo!
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  me pigwaling?by who?y?wat bound?am a free molecule dia,God I pray give me strength to work ad and hve wat belongs to me and by my sweat,give me a fearfull obidient man of God ,who will respect me for whom Iam,wat I have and love me and my family,frinds,job,A man who will give me opportunity and courage,God fill our poket that poverty should not be part of our lives,give us faith to trust and obey u alwayz,always make our love grow each day,with thanks giving,let us love our enemies and pray for the need,and I promise lod I will love,obey and be faithfull to my men .Amen.
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ....hahahaha!
  kaaz kwelikweli!
  kwa swala la aika ni NJAA
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  NINAVYOMFAHAMU MIMI aika:
  -HANA PLAN 'B'
  -DEPENDENT WOMAN
  -BAAMEDI
  -SHULE HAMNA
  -MMAKONDE

  raha ya milele apewe aika...!NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  How many do you or planning to have mamii? Halafu leo unamwaga slang balaa
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  siku nikipigwa sijui nitalipokeaje hilo swala binamu nitakwambia ..
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  We Geoff mwanzio hajafa ama! Nini kumfanyia sala ya maziko? Au amekufa mie sijasoma vizuri?
   
 17. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  just ONE TILL DEATH DO US PAT
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ndo hiyo iitwayo Mwanamke nyonga au? nitaijaribu leo jioni
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Na ulivyo mvivu wa kujua yanayojiri mitaani, pole! Mwanamke nyonga ishapitwa na wakati! Chipopolo ni brand mpya kabisa sokoni! :) Nitakupitishia carton moja weekend uwe unaonja mbili tatu kabla ya kwenda kusali jumuiya! :)
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  KWA NAMNA MA-BAA MEDI wanavyosumbuliwa na swala la umasikini,ni kama wamekufa...!lol
   
Loading...