Nawapenda sana wazungu wako too original

Mimi pia najivunia kuwa mtanzania na naipenda nchi yangu,ila tunakosoro ndogo kwa MTU mmoja mmoja tukizirebisha hizi Tanzania itakuwa bora hata ulaya haitotuweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀 kuishi na wale watu yataka moyo "ule uswahili wa kibongo hutakiwi kuwa nao. At least kanishape shape kiasi,baadhi ya vitabia vya kibongo sina. Sasa ikitokea mtu kaniletea naumiaga mno

Wapende tu,ni watu wazuri sana ❤

Yaani ww umeishinaye bado uko tz??si akufanyie mishe uende majuu lil sisy!khaaa..au ndo mapenzi na nchi
 
Nna mapenzi makubwa na nchi yangu 😂😂😂😂😂
Ila me sijataka tu. Nikitaka ni rahisi sana kwangu
Tutaenda wote si ndio mpenzi..?

Vitu vyengine lzm unyenyekee kuvipata 😂👆👆
Natumai hutoniangusha sweetie 😉
 
Watu weusi ni Washamba, hawapendani, wanafiki wana roho mbaya sana na Majungu juu

Ni race yenye watu wa hovyo zaidi duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thus pia Mungu anawaadhibu Kwa kuwapa watawala wabovu,mabara mengine wao wanapewa viongozi bora ndo maana wako mbali.Africa inapewa watawala wenye roho mbaya,makatili,madikteta, wezi,wapenda sifa,uncivilized and uneducated ambao ndio chanzo cha kuleta laana ya umasikini, machafuko Africa
 
Back
Top Bottom