Nawapenda sana wazungu wako too original

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,747
2,000
Nawasifu sana wazungu wako original sana, yaani hawana chengachenga, siyo wabongo wanafiki sana tena wanafiki kupitiliza, harafu sijui tukoje yaani sisi tukotuko tu. Leo Mbongo anajifanya anaijua dini kuliko mzungu na mwarabu?

Maajabu haya tena ya karne, mbongo anawalaumu wazungu kwa kuwa wauza silaha, badala ya kulaumu wanaonunua. Mbongo nyanya imeoza badala kuitupa anaiita masalo mradi aile tu kisha anaumwa harafu anaenda hospital analipa pesa nyingi.

Mbongo analala na mbu ndani badala ya kuwaua ndo alale yeye analala nao harafu anawaua wakati wanamngata anajigeuza yeye mtego mpaka wamguse, Mbongo akisikia kiu badala ya kunywa maji anakunywa soda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,629
2,000
Haaa.....we jamaa unashabikia mabeberu?
Ngoja professor majalala aone uzi huu atakavyokutolea macho km mjusi amebanwa na mlango.....
IMG-20200311-WA0055.jpg
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
35,078
2,000
Haaa.....we jamaa unashabikia mabeberu?
Ngoja professor majalala aone uzi huu atakavyokutolea macho km mjusi amebanwa na mlango.....

🤣🤣🤣🤣nimejikuta naiangalia tena...haahha kha!🙌🙌🙌imebidi niisave tu for future use..asabte kunianzjshia siku njema
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,003
2,000
Afrika hatuna bahati.

Tanzania ndio hatuna bahati kabisa.

Tulitawaliwa na Mwingereza | 'Mswahili Swahili', Kutetana & Kufuatiliana Fuatiliana.

Then, Tukatawaliwa na Mwarabu | Mchawi na 'Mswahili'

Yaani tumekukuwa watu wa ajabu ajabu !
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,508
2,000
Nawasifu sana wazungu wako original sana, yaani hawana chengachenga, siyo wabongo wanafiki sana tena wanafiki kupitiliza, harafu sijui tukoje yaani sisi tukotuko tu. Leo Mbongo anajifanya anaijua dini kuliko mzungu na mwarabu?

Maajabu haya tena ya karne, mbongo anawalaumu wazungu kwa kuwa wauza silaha, badala ya kulaumu wanaonunua. Mbongo nyanya imeoza badala kuitupa anaiita masalo mradi aile tu kisha anaumwa harafu anaenda hospital analipa pesa nyingi.

Mbongo analala na mbu ndani badala ya kuwaua ndo alale yeye analala nao harafu anawaua wakati wanamngata anajigeuza yeye mtego mpaka wamguse, Mbongo akisikia kiu badala ya kunywa maji anakunywa soda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui wazungu uenda hujawahi kuishi nao au unawaona kwenye cinema tu sisi tulio ishi nao hamna mtu mnafiki kama mzungu with fake smiles.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,612
2,000
Nawasifu sana wazungu wako original sana,yaani hawana chengachenga,siyo wabongo wanafiki sana tena wanafiki kupitiliza,harafu sijui tukoje yaani sisi tukotuko tu,leo mbongo anajifanya anaijua dini kuliko mzungu na mwarabu,maajabu haya tena ya karne,,mbongo anawalaumu wazungu kwa kuwa wauza silaha,badala ya kulaumu wanaonunua,mbongo nyanya imeoza badala kuitupa anaiita masalo mradi aile tu,kisha anaumwa harafu anaenda hospital analipa pesa nyingi,mbongo analala na mbu ndani ,badala ya kuwaua ndo alale yeye analala nao harafu anawaua wakati wanamngata anajigeuza yeye mtego mpaka wamguse,mbongo akisikia kiu badala ya kunywa maji anakunywa soda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu is not original
1.Akila masalu ataumwa afe, wabongo sijawahi ona wanaumwa kwa masalo
2.Mzungu malaria unamuondoa kufumba na kufumbua.
3.Mzungu ni mnafiki kuliko kiumbe yeyote huuma huku anapuluza.Anaunda silaha za maangamizi ya viumbe, hio ni roho mbaya sana ila umeaminishwa ni akili sana kuunda misilaha
4.Mzungh amewaaminisha watu kama wewe kuwa yeye ni bora kumbe sio kweli, kuna wajapani nk ambao wanaustawi wa hali ya juu.
5.Mzungu anawivu bora hata ya wivu wa kike.Hili tumelishuhudia china ilipopata korona hakutoa msaada eti wachina wajijue ili wasimpite kimaendeleo cha ajabu korona ikageuza kibao, wanabaki wanalialia wanataka hata China iwasaidie.
Kizazi kinachohusu wazungu lazima in miaka 40 kupanda Ila chini ya hapo wanajua mchina ndio mtu mwenye akili duniani kila kitu kinaundwa na machina.Inawezekana hata hapo ulipo huna kitu kilichotoka ulaya kuanzia nguo, vifaa vya nyumba hadi electronics.
Kuhusudu wazungu/wachina/warabu nk in ugonjwa wa akili kama magonjwa mengene ya akili.Wahi hospitali mkuu kichaa kisijekukolea
 
MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
1,115
2,000
Nawasifu sana wazungu wako original sana, yaani hawana chengachenga, siyo wabongo wanafiki sana tena wanafiki kupitiliza, harafu sijui tukoje yaani sisi tukotuko tu. Leo Mbongo anajifanya anaijua dini kuliko mzungu na mwarabu?

Maajabu haya tena ya karne, mbongo anawalaumu wazungu kwa kuwa wauza silaha, badala ya kulaumu wanaonunua. Mbongo nyanya imeoza badala kuitupa anaiita masalo mradi aile tu kisha anaumwa harafu anaenda hospital analipa pesa nyingi.

Mbongo analala na mbu ndani badala ya kuwaua ndo alale yeye analala nao harafu anawaua wakati wanamngata anajigeuza yeye mtego mpaka wamguse, Mbongo akisikia kiu badala ya kunywa maji anakunywa soda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kaolewe na wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom