Nawapenda sana ndugu zangu: Umoja na upendo wetu ni wa pekee

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,829
11,204
Wakuu wa jukwaa la mahusiano, jamii na mapenzi...

Naomba niseme kwamba bila hili jukwaa, JF ingekua ngumu sana kwa kweli; kila tulipokua tunapata stress kuhusu mustakabali wa nchi yetu... hili jukwaa limekua the best partner

uchaguzi umekwisha, na jukwaa letu ndilo pekee hapakua na tension wala misuguano... we awewre swimmming in love

as we open a new chapter in our country, bila kujali mshindi ni nani, nawaomba tuendeleze upendo na kusaidiana kimawazo, tuzidi kujuliana hali na kila inapowezekana, tuwe tunaonana na kula na kunywa pamoja

nimefarijika sana kwamba jukwaa pekee lililong'aa bila kuchafua hewa hili... tumeona anniversaries, watoto kuzaliwa, ndoa, misiba, ajali, sherehe, societies (ISC) etc vikiwepo ndani ya hii forum

mashairi, mafumbo, emoticons and loving signatures are always associated with this forum

Long live jukwaa la mahusiano
 
Duh najaribu kupata picha ungekuwa mgombea unayeomba kura kwa maneno haya kweli ningekupa kura yangu bure, ya mwanangu na wale woote walio chini ya himaya yangu.
Tunakupenda pia Acid na ubarikiwe sana.
 
...he he hehe!

Acid bana! Unasema Long Live jukwaa halafu sisi tuitikie vipi Lidumuuuuuu tuonekane 'kina wenyewe' eeh?
Nice words bro, thank you!

MwanajamiiOne, ati unasema kura mngezigawa bure? naskia manukato ya rushwa na takrima kwenye kura zenu,
TAKUKURU wanahitajika kwenye nyumba yako...ha ha ha!

Pheeewwwww!,...siasa apart jamani...Thread za uchaguzi mkuu zimekuwa nyingi mno.
Mdahalo huu ukiendelea na hapa patageuka 'uwanja wa fisi!' au??? :thumb:
 
Mbu mwenzangu mie binti wa kitanga najimwaya kwa mirindimo iliyopo........ wa sasa hasa leo ni uchaguzi so naamua mwenyewe kigudi nikizungusheje mradi tu nisitoke njee ya biti kuu.
 
Kumtia Mbu wa watu majaribuni tu akuume upate 'maleria':A S angry::A S angry:
 
Thanks MJ1

jana nimepiga kura, knikakwea pipa... mawazo yangu yote ni familia yangu na JF...
 
...he he hehe!

Acid bana! Unasema Long Live jukwaa halafu sisi tuitikie vipi Lidumuuuuuu tuonekane 'kina wenyewe' eeh?
Nice words bro, thank you!

MwanajamiiOne, ati unasema kura mngezigawa bure? naskia manukato ya rushwa na takrima kwenye kura zenu,
TAKUKURU wanahitajika kwenye nyumba yako...ha ha ha!

Pheeewwwww!,...siasa apart jamani...Thread za uchaguzi mkuu zimekuwa nyingi mno.
Mdahalo huu ukiendelea na hapa patageuka 'uwanja wa fisi!' au??? :thumb:
mkuu sasa hivi presha imepoa na mawazo yangu ni kwa niwapenao tu.... na hili jukwaa ni zaidi aisee
 
Mbu mwenzangu mie binti wa kitanga najimwaya kwa mirindimo iliyopo........ wa sasa hasa leo ni uchaguzi so naamua mwenyewe kigudi nikizungusheje mradi tu nisitoke njee ya biti kuu.
yesu marealle na yosefu

yani kweli unaleta hayo mambo sa hii kamanda.... hebu zungusha basi udediketi kwa JK na chenge:doh:
 
Wakuu wa jukwaa la mahusiano, jamii na mapenzi...

Naomba niseme kwamba bila hili jukwaa, JF ingekua ngumu sana kwa kweli; kila tulipokua tunapata stress kuhusu mustakabali wa nchi yetu... hili jukwaa limekua the best partner

uchaguzi umekwisha, na jukwaa letu ndilo pekee hapakua na tension wala misuguano... we awewre swimmming in love

as we open a new chapter in our country, bila kujali mshindi ni nani, nawaomba tuendeleze upendo na kusaidiana kimawazo, tuzidi kujuliana hali na kila inapowezekana, tuwe tunaonana na kula na kunywa pamoja

nimefarijika sana kwamba jukwaa pekee lililong'aa bila kuchafua hewa hili... tumeona anniversaries, watoto kuzaliwa, ndoa, misiba, ajali, sherehe, societies (ISC) etc vikiwepo ndani ya hii forum

mashairi, mafumbo, emoticons and loving signatures are always associated with this forum

Long live jukwaa la mahusiano

Niliwambia asubuhi!big up this jukwaa!
 
Kumtia Mbu wa watu majaribuni tu akuume upate 'maleria':A S angry::A S angry:

...ha ha!, hulala mwenye chandarua chenye dawa huyo, mbaya zaidi hata mchana anajipaka 'mosquito repellant!'
 
hahaha..dawa za siku hizi Mbu wanazijulia...huwa wanaumia hata kutokea nje ilimradi net ina matundu.....lol
 
...ha ha ha!, hayo matundu si mpaka GPS ikubali mwelekeo?...

2005-10-02.gif

Akhaa.......lini vichwa vyenu vitawaza straight jamani? Kwa nini uende huko ulikokwenda?............Mwone vile!!

...umeona eeeh? ---watu wa 'Malaria Haikubaliki' hao! ha ha!...
 
Back
Top Bottom