TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,852
- 11,224
Wakuu wa jukwaa la mahusiano, jamii na mapenzi...
Naomba niseme kwamba bila hili jukwaa, JF ingekua ngumu sana kwa kweli; kila tulipokua tunapata stress kuhusu mustakabali wa nchi yetu... hili jukwaa limekua the best partner
uchaguzi umekwisha, na jukwaa letu ndilo pekee hapakua na tension wala misuguano... we awewre swimmming in love
as we open a new chapter in our country, bila kujali mshindi ni nani, nawaomba tuendeleze upendo na kusaidiana kimawazo, tuzidi kujuliana hali na kila inapowezekana, tuwe tunaonana na kula na kunywa pamoja
nimefarijika sana kwamba jukwaa pekee lililong'aa bila kuchafua hewa hili... tumeona anniversaries, watoto kuzaliwa, ndoa, misiba, ajali, sherehe, societies (ISC) etc vikiwepo ndani ya hii forum
mashairi, mafumbo, emoticons and loving signatures are always associated with this forum
Long live jukwaa la mahusiano