Nawapenda sana ndugu zangu: Umoja na upendo wetu ni wa pekee

Mbu mwenzangu mie binti wa kitanga najimwaya kwa mirindimo iliyopo........ wa sasa hasa leo ni uchaguzi so naamua mwenyewe kigudi nikizungusheje mradi tu nisitoke njee ya biti kuu.

Ohoo kumbe upo nilifikiri uko busy unahesabu kura kama mimi
 
we acha tu... nawaombea akina preta, lily, PJ na wengine amani na utulivu

election violence hazina mwenyewe

asante sana kwa sala zako...tumepona na tuko katika hali nzuri japo amani ilitaka kutoweka na ikatulazimu tuwahi nyumbani kinyume na ratiba, lakini tunamshukuru Muumba kwa kuyapita mapito hayo.....ubarikiwe sana
 
asante sana kwa sala zako...tumepona na tuko katika hali nzuri japo amani ilitaka kutoweka na ikatulazimu tuwahi nyumbani kinyume na ratiba, lakini tunamshukuru Muumba kwa kuyapita mapito hayo.....ubarikiwe sana
Thanks P'

sasa tunahamishia sala zetu ubungo ili akina Fide nao wale matunda ya nchi kwa kujinafasi
 
wakuu wa jukwaa la mahusiano, jamii na mapenzi...

Naomba niseme kwamba bila hili jukwaa, jf ingekua ngumu sana kwa kweli; kila tulipokua tunapata stress kuhusu mustakabali wa nchi yetu... Hili jukwaa limekua the best partner

uchaguzi umekwisha, na jukwaa letu ndilo pekee hapakua na tension wala misuguano... We awewre swimmming in love

as we open a new chapter in our country, bila kujali mshindi ni nani, nawaomba tuendeleze upendo na kusaidiana kimawazo, tuzidi kujuliana hali na kila inapowezekana, tuwe tunaonana na kula na kunywa pamoja

nimefarijika sana kwamba jukwaa pekee lililong'aa bila kuchafua hewa hili... Tumeona anniversaries, watoto kuzaliwa, ndoa, misiba, ajali, sherehe, societies (isc) etc vikiwepo ndani ya hii forum

mashairi, mafumbo, emoticons and loving signatures are always associated with this forum

long live jukwaa la mahusiano

wera werrrrrrraaaaaaaaaaaa.......hakuna kuto bila......
 
Back
Top Bottom