Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Kuvisha chupi zenye vigodoro kuongeza muonekano wa ukubwa wa makalio. Ni kweli hujui au umeona tu unisumbue mkuu?
kweli kiongozi sikua nafahamu ulichomaanisha,kama umesoma point niliyoandika pale juu ni kwamba kuna wakati wanavaa wigs ili kuwahisha mambo yaende haraka, sasa sijaona jinsi kuvaa kigodoro kitamfanya awe fasta katika shughuli zake kwahyo sitaruhusu.
 
Halafu wakivaa hayo majitu wanavyojishongondoa kama wazungu koko.....

Mara arudishe nywele nyuma kwa kidole, mara ajitikise bichwa eti nywele zirudi nyuma kama za mzungu. Amejitwika na makucha kama jini maimuna.

Wigi lenyewe gumu kama katani grade C. Akizungusha bichwa makatani yanajigeuza mzobe mzobe kama helmet.

Halafu sijui nani kawaambia wanapendeza?
...jamani umenichekesha Sana.
 
Eti naulizaa, amyevaa wigi ni tofauti na anayevaa kigodoro?
Kama ni tofauti please nisaidie kutofautisha kabla sijakubaliana na wazo la bagonza "penye wigi waweza weka kigodoro"
Hakuna tofauti wote wanataka kupendeza TU...
 
Nikose tu mwanaume anayeshindwa kufanya Mambo ya kiume na kuniambia nisifanye nitakacho hanifai huyo, lazima aelewe vitu ninavofanya ni kwa sababu ni mwanamke na hormones za kike ningekuwa wakiume navaa mawigi na kujipodoa ana haki ya kunikataza
Sasa Cariha,kwani lazima uvae wigi?,Hivi ukisuka yebo huwezi kupendeza,Ukisuka kawaida huwezi kupendeza?.
 
Halafu wakivaa hayo majitu wanavyojishongondoa kama wazungu koko.....

Mara arudishe nywele nyuma kwa kidole, mara ajitikise bichwa eti nywele zirudi nyuma kama za mzungu. Amejitwika na makucha kama jini maimuna.

Wigi lenyewe gumu kama katani grade C. Akizungusha bichwa makatani yanajigeuza mzobe mzobe kama helmet.

Halafu sijui nani kawaambia wanapendeza?
 
witnessj nawajua Sana kina Joanah na cariha Hawa viumbe nawajua in out haswa ubishi wa cariha haka kadada kabishi Sana sijawahi kuona lkn joanah yeye anauzungu mwingi hasa yale mavazi yake yananikoshaga Sana huwa hapendi kuvaa nguo nying ananiambiaga zinamkera au kwa sababu ya joto la DSM sina uhakika

Yote tisa kumi nawapa salama ziwafikie
 
ubishi nao ni kipaji ndugu yangu
 
Back
Top Bottom