Nawaona Zitto na Pascal Mayalla wakiitwa na Spika mbele ya Kamati ya bunge ya maadili

Zitto ataitwa kwa kosa la kubariki kauli ya CAG kwamba bunge ni dhaifu sawia na mbunge wa kawe Halima Mdee

Pascal Mayalla ataitwa kujieleza kwa kulihusisha bunge na kauli za " hovyo hovyo "

Hayo ni maono ya Johnthebaptist
Maendeleo hayana vyama!
Afu Kuna kitu nimekiona ndani yako. Huna tofauti na faiza fox, wewe ni mdini sana
 
Back
Top Bottom