Nawaombeni mnisaidie!

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,218
Kuna best wangu amepangwa chuo cha Tumaini Iringa na TCU.. Ila yupo maeneo ambayo yapo mbali na huduma za kijamii, ningependa anayejua tarehe ya kufungua ni ipi naomba aniambie ili niweze kumsaidia kabla hajachelewa..vp form ya ku'comfirm aichukue wapi? Natanguliza shukrani za dhati.
 
Pia kama kuna mtu anayejua tarehe ya udsm ya kufungua chuo mwaka wa kwanza anijulishe ni lini.
 
Ingia kwenye website za hivyo vyuo, tarehe zitakuwepo. Kuna kitu kinaitwa alimanac, uta download, inaonyesha ratiba nzima.
 
Back
Top Bottom