Nawaomba wenyekuzielewa sheria za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaomba wenyekuzielewa sheria za Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Babylon, Apr 8, 2012.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Katika nchi za Ulimwengu wa kwanza ukimuingilia mwanamke (force yourself into her) bila idhini yake kwa mfano akiwa kalala , kalewa inahesabika ni Raping (umembaka)swali linakuja hapa katika sheria za Tanzania Zinaelezea nini?
   
Loading...