Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 747
- 640
Wadau poleni na safari ya URUSI baada ya kurudi salama naomba mnishauri katika hili.Binti yangu amemaliza kidato cha sita mwaka jana matokeo yake kapata div 2,pts 12.Alikuwa anasoma combination ya HGE amepata GS-C, HIST-D, BAM-C and ECONOMICS-D.Naombeni mnishauri kozi za yeye kusoma na ikibidi chuo gani asome kwa hapa nyumbani TZ.Kable ya matokeo alipenda kusoma finance and banking baada ya matokeo anaomba nimshauri nini asome binafsi ningependa asome LAW sijamwambia bado.Naomba ushauri wenu wakubwa wenzangu.