Nawaomba radhi Ndugu zangu wa CHADEMA kwa yote niliyowakosea 2020 & Nawatakia Kheri ya Sikukuu ya Noeli Na Mwaka Mpya 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Nawaomba msamaha ndugu zangu wa CHADEMA kwa niliyowakosea.

Sikukusudia kuwakosea bali ni kutokana na udhaifu wa kibinadamu.

Yaliyotokea yametokea na hakuna namna ya kuyabadilisha bali kukubaliana nayo.

Niwatakie kheri ya mwaka mpya huku nikiwakumbusha methali isemayo asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Mimi Kada na Mwanaharakati Mzalendo kutoka Lumumba.

Nawapenda nyote japo nitasalis mtiifu kwa nchi yangu.
 
Haina kwere mzee baba, nimekusamehe japo mi si chadema.
 
Nawaomba msamaha ndugu zangu wa Chadema kwa niliyowakosea

Sikukusudia kuwakosea bali ni kutokana na udhaifu wa kibinadamu...
Umeona buku sabasaba ulizoahidiwa zimeota mbawa, umetukana watu wasio na hatia, umeteka, umetesa, umeua.... Mkapata Tanzania ya kijani kwa dhuluma na mabavu, na hela hujapewa, Sasa unajuta. Tumekusamehe, usikubali tena kutumika kiboya.
 
Back
Top Bottom