Nawaomba ndugu zangu tujadiliane na hili (Kubana Matumizi ya Serikali) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaomba ndugu zangu tujadiliane na hili (Kubana Matumizi ya Serikali)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MziziMkavu, May 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Nauliza Swali? katika Serikali yetu Katika Kubana Matumizi ya Serikali (Je Kuna Haja ya kuwa na Mkuu wa mkoa Wakati kuna Meya?) nawaombeni jibu zuri Muchangie Mawazo yenu asanteni.  [​IMG]
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Mkuu MziziMkavu sasa unataka magamba wakale wapi!? unaona kila baada ya miaka michache wanacreate mikoa mipya ili kuongeza ulaji kwa magamba bila kujali gharama kubwa za uendeshaji wa mkoa mmoja....Magamba ndivyo walivyo wameweka mbele maslahi yao badala ya nchi.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Na kuna haja ya kuwa na wabunge lukuki? Haiwezekani kila mkoa say, kuwa na mbunge mmoja? Manake mkoa una meya, mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya, kata, tarafa, kijiji/mtaa! Ndo maana wabunge wengine wanasinzia tu manake kama ni issue ya barabara ishaulizwa na wengine!
   
 4. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Ukiondoa hizo nafasi utakuwa umepunguza sana nafasi za fadhila sasa watapelekwa wapi wanaofadhili kampeni, waganga wa kienyeji an ndugu?
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,906
  Likes Received: 5,367
  Trophy Points: 280
  sio mkuu wa mkoa ni mkuu wa mkoa(ccm),usimpunguzie cheo,..nimeshamshudia mkuu wa mkoa wangu kavaa manguo ya kijani na njano akijumuika na makada wengine wakiwemo wabunge wote wa ccm wa huo mkoa wakitumia ukumbi wa mkoa bila kulipia na huyo rc akiagiza itumike hela ya serkali inunue vyakula na vnywj
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @nyabhingi ina maana ni Mkuu wa Mkoa wa CCM? Kuongeza Mikoa kuwa mingi na kuwa na Mkuu wa Mkoa pamoja na Meya huu ni Uharibifu na gharama kubwa ndani ya Serikali na wanaoumia ni walipa kodi Walala hoi Masikini Wananchi hii nchi inaendeshwa kiholela sana @BAK @Njoka Ereguu @King'asti
   
Loading...