Nawaomba muipe maelezo picha hii! Kuna cha maana hapa?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Main%20K.jpg
 
Moi: Hivi baada ya kuchakachua walileta fujo kama ya kwetu?

JK: Tehe teh tee..kule waoga sana...eheeeeee

JK: Mzee na mimi nakaribia kumaliza kipindi changu cha uongozi, njoo tz nikupatie kiwanja cha hotel kule serengeti.

MOI: Asante kijana lakini kumbuka wakati huu sio kama ule wa kwetu na Nyerere, kwetu hapa wameishaamka na muda si mrefu yatakuja na huko kwenu, huku sie tunajitahidi kwa shida hivyohivyo kukabiliana na dhahama ya tuliyotenda si umesikia mambo ya OKAMPO???
 
180900_165946746788226_100001187051944_314189_8031184_n.jpg


Jamaa hakukosea kusema our presdaa is handsome, ila inapokuja kwenye kujenga hoja.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
No offense, one seems to be making a point about somethin very important and the other is not getting it! or never will.You can tell by their body language! LOOOOOL!
 
Main%20K.jpg



JK: Mzee naona umekuwa kimya sana ww hawakusumbui km kule kwetu wanavyomwandama mzee wa Ukapa?

Moi: teh teh, mie niliwazima mapema, wakileta fyokofyoko tu nawazulia balaa, maana hata Kibaki alibaka kura.
 

Duh, huyo jamaa aliye kulia anataka kufanana na Wassira, kuna ka DNA link hapa nini!!

Nafikiri anajaribu kupata experience ya jinsi gani ya kuepukana na aibu chama chako kinapopigwa mweleka na kuondolewa madarakani kwenye uchaguzi Mkuu huku ukiwa Mwenyekiti wake.
 
Moi: Mimi nilichukua mali zote muhimu kama estates na viwanda sasa hivi nakula rent na returns

JK: I like your strategy lakini mimi kwa sasa nachakachua wanyange my son is busy with the investments
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom