Nawakumbusha tunaelekea kumaliza hatua ya kwanza

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,357
2,000
Naona wapinzani wa marehemu; wanaopigana na mtu ambaye haongei wala hasikii wameanza kupungua. Hii ni ishara kuwa zile hatua tatu tutakazopitia tumeanza kumaliza ya kwanza!

Wamemchafua lakini hachafuliki zaidi watu wameendelea kuingiwa na mashaka juu ya siku za usoni.

Wamejaribu kutumia ukabila na ukanda nap wameanguka. Wameshindwa kujua kuwa nchi hii uwezi tumia ukabila kuisambaratisha maana Wahaya wameoa wachaga, wachaga wameolewa na wasukuma, wasukuma wameolewa na Wahehe, wahehe wameoa wamasai, masai wameolewa na wazigua.

Kuwa ambao waliwahi jiita half cast wa kichaga na kinyakysa....wakasahau pia kuna kina Nebuchadinezzer one-half cast wa kikurya na kimasai n.k.

Nawakumbusha awamu ya kwanza ni hii:-
"Kuchafua kila alichokifanya JPM.
Hii nadhani mmeanza kuiona. Kila alichofanya kitaonekana ni kosa. Kila aliowateuwa wataonekana hawafai. Itaonekana alitumia nguvu na sio akili.

NB: Kipindi hiki kitaambatana na usaliti wa kiyuda."

Legacy ya JPM ipo mioyoni mwa watanzania.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
11,234
2,000
Nikifika mbinguni swali la kwanza kuwauliza malaika Ni je Ni kweli Magufuli alihusika na kummininia lissu risasi na kama hakuhusika kwanini alikuwa amekaa kimya muda wote kiongozi anapigwa risasi na Sababu hasa Ni Nini
Nimemaliza
 
ProMagufuli

Senior Member
Apr 6, 2021
138
250
Naona wapinzani wa marehemu; wanaopigana na mtu ambaye haongei wala hasikii wameanza kupungua. Hii ni ishara kuwa zile hatua tatu tutakazopitia tumeanza kumaliza ya kwanza!

Wamemchafua lakini hachafuliki zaidi watu wameendelea kuingiwa na mashaka juu ya siku za usoni.

Wamejaribu kutumia ukabila na ukanda nap wameanguka. Wameshindwa kujua kuwa nchi hii uwezi tumia ukabila kuisambaratisha maana Wahaya wameoa wachaga, wachaga wameolewa na wasukuma, wasukuma wameolewa na Wahehe, wahehe wameoa wamasai, masai wameolewa na wazigua...

Kuwa ambao waliwahi jiita half cast wa kichaga na kinyakysa....wakasahau pia kuna kina Nebuchadinezzer one-half cast wa kikurya na kimasai n.k.

Nawakumbusha awamu ya kwanza ni hii:-
"Kuchafua kila alichokifanya JPM.
Hii nadhani mmeanza kuiona. Kila alichofanya kitaonekana ni kosa. Kila aliowateuwa wataonekana hawafai. Itaonekana alitumia nguvu na sio akili.

NB: Kipindi hiki kitaambatana na usaliti wa kiyuda."

Legacy ya JPM ipo mioyoni mwa watanzania.
Ni suala la muda tu. Wote watanyamaza kimya. Wakishuhudia wema wa Hayati JPM
Hata kwa siri au hadharani..!
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,125
2,000
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
Hao wanasahau 5 years before alikotutoa JPM, mpaka kichaa GBL akasema mahali tulikokuwa kama nchi alihitajika kiongozi madhubuti kama JPM. Kwa hiyo walioweka bango kuuuuuubwa la ^Shujaa wa Afrika^ kwenye send-off yake walikuwa wasanii tuuu au wajinga!???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom