Nawakumbusha tu ni kitabu kipi ulikua unakipenda kati ya hivi?

114e90e29b877deb84d32cf2b0648119.jpg

Kalaghabao!!! Mi nshasahau
 
Nilifundishwa kiswahili na mwalimu mmoja ambae pia anajiita nguli ktk kiswahili. Ilikuwa ktk wiki yeye anaenda library kuangalia list ya walioningia na vitabu ulivyoazima ole wako uwe hujaazima hata kitabu kimoja. Subiri fimbo. Ilikuwa bora uazime hata kamusi tuu uwepo ktk list atakayokagua.
 
Hivi vile vitabu vya wakina mzee tola yule bwege fulani aliyekula konokono kwa uchoyo au vile vya mfalme ana mapembe kuna mtu anapicha zake, sijui ilikuwa darasa la 4 vile!
Unanikumbusha story kama la la laaa, Siku ya mvua kubwa, Sekela mdadisi, dagaa ni chakula bora etc
 
\Nakumbuka Nikiwa darasa la nne nikaanza kuvisoma kwasababau shangazi yangu alikuwa anakaa nyumbani na yupo sec
baada yahapo sikuwahi kuvisoma tena hadi kesho na navikumbuka na mitihani nilivijibia murua sanaaaaaa
Mwaka gani
 
Back
Top Bottom