Nawakumbusha Tanzania ni ya Watanzania

Meshe

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
375
470
Hii ni nchi ya watanzania.Tunatambulishwa nauraia wetu!!
Sisi sio wapinzani na chama tawala!!
Sisi ni watanzania!!

Anayetutenga na kutubagua kwa itikadi kwa malengo ya kisiasa ili tuhasimiane anatenda DHAMBI dhidi ya utanzania wetu!! Hatufai!!

Sisi sio nchi ya wanyonge!!
Sisi ni watanzania!!

Sisi sio kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini, kusini au kati!!!
Sisi ni watanzania!!

Sisi hatutambuani kwa kabila, ukanda au dini!
Sisi ni watanzania!!

Tunataka kishi kwa kufuata sheria na usawa!! Hakuna kuoneana wala kupendeleana!!
Sisi ni watanzania!!!

Anayawaza kutugawa watanzania ili tusipendane
alaaniwe na ashindwe!!

Watanzania tupendane!!
Tanzania kwanza!!
 
Anayejaribu kutugawa kwa namna yoyote Alaaniwe na Afe kabla ya Siku zake
 
Back
Top Bottom