johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu.
Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa?
Freeman Mbowe wa CHADEMA naye anasema Tundu Lissu akiwa Rais yeye atakuwa Waziri Mkuu.
Huyu Mbowe hajui kuwa Waziri Mkuu huthibitishwa Bungeni? Yaani bunge la CCM limthibitishe Mbowe kuwa PM?
Niishie hapo wapinzani wana ufinyu wa fikra.
Maendeleo hayana vyama!