Uchaguzi 2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,382
2,000
CCM ikishaanguka automatically tutatazimiks kuwa na katiba mpya.

Hata CCM hawataitaka tena katiba ya sasakwa kuwa haitakuwa na manufaa tena kwao
 

Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
3,671
2,000
Kinachoendelea kwenye huu uzi, ni sawa na mtu kujadili mipango uatakayoifanya endapo ataokota hela.
 

gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,773
2,000
CCM ina wabunge 20 waliopita bila kupingwa na ina wagombea ubunge katika majimbo yote yaliyobakia!
Ni sawa tukiacha hawa 20 bado kuna majimbo zaidi ya 240 ambayo yanagombewa.

Na endapo Lissu anashinda urais kama mada yako isemavyo, maana yake atakuwa na share kubwa ya wabunge wa viti maalum kuliko vyama vingine.

Kwa muktadha huo, mnasemaje hatakuwa na wabunge wengi hasa ukizingatia uzoefu wa chaguzi zetu unaonesha kuna mahusiano chanya kati ya kura anazopata rais na mbunge katika majimbo, yaani jimbo analoshinda mbunge wa chama fulani, mgombea urais wa chama hicho pia hupata kura nyingi zaidi ya wengine.
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,172
2,000
Unajua idadi ya wagombea ubunge wa Chadema au unabwabwaja tu bwashee?
Nchi nzima kasoro 21 moja waalio pitishwa na tume! Lakini kumbuka kuwa wakimgomea Rais , atavunja bunge, watu warudi kwenye uchaguzi, ambapo hakuna atakaye kua na uhakika wa kurudi! Pia ujue hata ccm kuna wanaojielewa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom