Nawakubali wana jf-mko juu!!

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Nimefurahi kujiunga na familia hii japo nimechelewa,kwa mda mfupi niliokuwa member nimegundua kuwa this is the right place.
 
nimefurahi kujiunga na familia hii japo nimechelewa,kwa mda mfupi niliokuwa member nimegundua kuwa this is the right place.

warmly welcome! Ingawa na mie nilichelewa kidogo but every minute spent in here counts!
 
Nimefurahi kujiunga na familia hii japo nimechelewa,kwa mda mfupi niliokuwa member nimegundua kuwa this is the right place.
Karibu sana na hutaijutia hata dakika moja utakayokuwa katika nyumba hii.
 
Nimefurahi kujiunga na familia hii japo nimechelewa,kwa mda mfupi niliokuwa member nimegundua kuwa this is the right place.

ndo manaake? Flag siku zote lazima lipepee Higher Mlingotini....

Nawewe kaa huko huko juu usishuke na jichumie huko hukoo! Maganda tupa chini... Uko juu.... Kama JF ILIVYO JUU....

A luta Continuerro...

Quando...
 
Back
Top Bottom