Nawakubali sana akinadada wa Singida, Mtwara/Lindi na Tanga

Mhhhhhhhhhhhhh! hapa natukaniwa dada zangu live live! khaaaa!
 
Duuuu........... Leo mmenifumbua macho kumbe kuna mambo ya namna hiyo! Aiseee , ngoja nifanye utafiti kwanza. Nitakuja na majibu baadaye.
 
Wamakonde ni noma...... Shemeji yenu yupo huko, mtoto kiuno bila mfupa, mtoto anajua kunitunza. Kudadadadadadeki ni noma. Nakubaliana na wewe.
 
Wamakonde ni noma...... Shemeji yenu yupo huko, mtoto kiuno bila mfupa, mtoto anajua kunitunza. Kudadadadadadeki ni noma. Nakubaliana na wewe.

kweli kabisa kitandan wapo juu ila kimaisha ni ZERO THINKERZ
 
Mambo ya kufikirika. Ni strerotype ambazo hazina nafasi dunia ya leo.
 
Nimesoma maoni ya wadau wote ila sitasema sana . But hata siku moja mtu unayejiita GT huwezi tambua kuwa life style imeegemea zaidi kwenye fikra na matakwa ya mtu mwenyewe? Japo jamii inayomzunguka na asili ya jamii aliyotokea vina nafasi ndogo sana kwenye hilo. BINTI AU MKE NI MKWE TUU INATEGEMEANA NA YEYE NA SIYO ALIPOTOKEA. Mbona niliioa mwarabu mwanzoni ila alikuwa hafanyi wanayodai ?
 
Back
Top Bottom