Ndugu hatuna serikali ya Tanganyika. Mzanzibar yeyote anaweza kuwa kwenye taasisi yoyote ya JMT!Husein Mwinyi ni Mzanzibar, anawezaje kuwa waziri kwenye wizara ambayo haihusiani na mambo ya Zanzibar kwenye JMT? Hivi kuna Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Waziri wa Afya Zanzibar?
Ndugu hatuna serikali ya Tanganyika. Mzanzibar yeyote anaweza kuwa kwenye taasisi yoyote ya JMT!
Ndugu hatuna serikali ya Tanganyika. Mzanzibar yeyote anaweza kuwa kwenye taasisi yoyote ya JMT!
mkuu unashangaa hilo? Mbona zanzibar inaitawala tanganyika kisiri?Husein Mwinyi ni Mzanzibar, anawezaje kuwa waziri kwenye wizara ambayo haihusiani na mambo ya Zanzibar kwenye JMT? Hivi kuna Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Waziri wa Afya Zanzibar?
Jamani visiwa vyetu pemba na unguja vyaweza zama majini miaka 200+ ijayo sasa mnategemea wajukuu wetu waishi wapi?Hawa Wazanzibar waliojichimbia huku Tanganyika ni ngumu kuwarudisha huko Visiwani. Maana miaka siyo mingi hivyo Visiwa vitajaa watu, hasa ukizingatia Wapemba wanvyozaa haraka haraka.
Jamani visiwa vyetu pemba na unguja vyaweza zama majini miaka 200+ ijayo sasa mnategemea wajukuu wetu waishi wapi?
Tanganyika ndio yenye kuitawala ZANZIBAR tena sio kisiri kila mtu anajua hilo.
Hussein Mwinyi ni Mzanzibari ?
Hawa Wazanzibar waliojichimbia huku Tanganyika ni ngumu kuwarudisha huko Visiwani. Maana miaka siyo mingi hivyo Visiwa vitajaa watu, hasa ukizingatia Wapemba wanvyozaa haraka haraka.
Husein Mwinyi ni Mzanzibar, anawezaje kuwa waziri kwenye wizara ambayo haihusiani na mambo ya Zanzibar kwenye JMT? Hivi kuna Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Waziri wa Afya Zanzibar?
- Vua Nahodha
- Hussein Mwinyi
- Saada Mkuya
Mnatoa hoja kwa utulivu na mna-stick to the point!
Asanteni kwa Kutuwakilisha waZanzibar - Kasheshe Kutoka Bububu
acha matusi
Huu ni udhaifu mkubwa wa katiba yetu kama sisi hatuwezi kuhudumu SMZ. Kwa nn wao waruhusiwe huku bara?
🤔Vipi Samia Suluhu?