Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

View attachment 2036928

Abuu Kauthar

Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao.

Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya LGBT, lakini nikizungumzia mashoga ninakusudia wanaume wanaofanyiwa mapenzi kupitia tundu la nyuma, ambalo limezoeleka kama ni kwa ajili ya kutolea mavi.

Watu hao watano ninaowajua wana jambo moja linalofanana. Wote waliingia kwenye tabia hiyo utotoni baada ya kunyanyaswa kwa muda mrefu, kingono. Mmoja wapo, nilimjua katika taasisi moja ya elimu, alinambia alifanyiwa mambo hayo na baba yake mdogo, mwingine ambaye ni mdogo wangu wa mama mdogo alinyanyaswa utotoni na jirani.

Mwingine ni kijana wa Kiarabu kule Dodoma ambaye alikuwa rafiki wa mjomba angu, akisoma shule ya Mazengo. Mara kadhaa alimfuata mjomba kumuomba amuombee dua aache tabia hiyo na kukiri kuwa ina uraibu mkubwa, kama wa sigara kwa liayezoea kufanyiwa. Kijana huyo naye alianzishwa mambo hayo utotoni na watu wazima katika familia yake. Katika hao watano, kila mmoja alikuwa na hadithi yake.

Sina sababu ya kutowaamini kwa sababu hayakuwa mazungumzo ya kipolisi au ya kuwahukumu bali ya kirafiki kabisa.

Kule Zanzibar na hata baadhi ya maeneo mengine, tunaambiwa, vitendo vya ulawiti wa watoto ni vingi mno. Baadhi vinang’amuliwa maopema, baadhi ya vitendo hivyo havijulikani na vinaendelea na kutengeneza mashoga.

Swali langu kwa watetezi wa LGBT, hawa nao waliingia huku kwa hiari?

Sina tatizo na mtu mzima, walau kwa uchache miaka 18 na zaidi, anayejitambua tayari, kuamua kuingiliwa kinyume akaifanya ni starehe yake lakini kuingizwa huko kupitia unyanyasaji haikubaliki.

Kwa hiyo, wakati wakina Mishy Singano, Fatma Karume na wenzao wanaowatetea mashoga wakiendeleza harakati zao, wachungulie takwimu na kuona hali mbaya ya ongezeko la vitendo vya ulawiti kwa watoto wa kiume na kike, wachunguze mchango wake katika kuzalisha mashoga (bila hiari) na wajishughulishe na mapambano hayo.

Katika habari moja niliyoiona imechapwa katika tovuti ya Shirika la Habari la Ujerumani, Deutche Welle (DW) Jeshi la Polisi limenukuliwa kuwa visa vya ukatili na dhuluma ya kingono dhidi ya watoto mwaka wa 2020 ilifikia 7263 ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo vilirikodiwa visa 5803, hii ikiwa ni sawa na visa 615 kwa mwezi jambo ambalo linatajwa kuwa linahatarisha mustakabali wa ustawi kwa watoto nchini humo. Dhuluma hizi za kingono ndio zinazalisha uraibu wa kupenda kuingiliwa kinyume.

Hawa vijana walioingizwa katika ushoga bila kutaka kwa kubakwa mfululizo utotoni wanapitia mateso makubwa mno. Wakienda kufanyiwa vipimo, hukutwa na hali mbaya ya kiafya, wameharibika. Starehe gani hii ya kuvunja haki za watu wengine ya kuwa na afya nzuri, eti kwa kizingizio kuwa ameridhia wakati kumbe wengi wanalazimishwa kwa kuanza kubakwa?

Jambo la pili ambalo nataka kuligusia kidogo ni hii tabia ya kutumia nguvu nyingi kupromote ushoga, jambo ambalo kusema ukweli linaathiri jamii ya LGBT kuliko kuwasaidia.

Jamii ya LGBT ilikuwepo miaka na miaka na ndio maana jambo la kuingiliana kinyume wanaume kwa wanaume au hata kwa wanaume kwa wanawake limetajwa kama dhambi kwenye dini nyingi kubwa. Zamani, hasa huku Afrika, walikuwepo walivumiliwa, kama walivyovumiliwa wengine wenye tabia zisizokubalika katika jamii.

Siku hizi upinzani dhidi yao umekuwa mkubwa kwa sababu wajiitao wanaharakati (ambao wenyewe wanapambana watoto wao wa kuwazaa wasiingie huko) wanatumia nguvu nyingi kulazimisha jamii ipende na ikumbatia tabia hizi.

Mi nadhani kwanza, wanaharakati wa LGBT waanze kuchunguza vijana wengi waliingiaje huko na wana maoni gani kwa hivi sasa? Je wangependa kusaidiwa kutoka (naamini hivyo) kwa sababu wengi wanafanya kwa uraibu, kama ilivyo kwa dawa za kulevya, sio kupenda?

Lakini, nina hakika wanaharakati wa LGBT hawawezi kufanya jambo lolote litakalopunguza idadi ya mashoga, ambao wamewafanya mradi wao wakichuma mabilioni kutoka kwa wafadhili. Wanaharakati wanapenda kutuaminisha kuwa mashoga wote wamekuwa hivyo kwa sababu ya kimaumbil.e.. sijui homoni na kadhalika.

Jamani! hivi ukiwa na homoni za kike ndio uingiliwe kinyume? Kwani kwa hao wanawake huko nyuma ni rasmi kama eneo la starehe? Mi nina hakika wanaharakati nguli wa LGBT, wakina nanihii hawajawahi kutoa ‘tigo’ kwani wanajua madhara yake ila wanahimiza watoto wa kiume wa wanawake wenzao wafyokolewe nyuma! Disgusting!

Wazazi wenzangu nawashauri tuwe waangalifu. Sibishi kuwa huenda homoni fulani huchangia kumsukuma mtu kwenye ushoga, lakini tusisahau sababu kubwa ya watoto wetu kuingia huko ni unyanyasaji wa kingono.

Wazazi, tuwachunge watoto sio tu dhidi ya manyang’au watu wazima wanaowamendea kutaka kuwabaka, lakini tuwalinde watoto wasifanyiane wao kwa wao na kuzoesha na tabia hiyo chafu.

Mwenyezi Mungu atuhifadhi na tabia asizoziridhia! Aaamiin
Kwa sisi ambao tumepitia ujasusi wa saikolojia tunajua lengo la Uzi wako ni kuitambulisha hiyo LGBT ili mapunga wasikate tamaa wakijua wanawatetezi wengi.

Unatumia njia Kama Ile ya freemason walivokua wanajivumisha kwamba wanatoana kafara at the end of the day wakafanikiwa kuwa maarufu Kama walivopanga
 
Hivi mwanaume unawezaje vumilia kuingilia. Wakati tuu mtu ukipata choo kigumu kesho yake hospital.

Wapigwa pipe wana moyo wa ziada
 
Tumuombee barduu alikuwa anafirwa enzi yuko sekondari pale moshi tec...leo hii ni askari jeshi pale dodoma...barduu😂😂..barduuu..
 
Kwa sisi ambao tumepitia ujasusi wa saikolojia tunajua lengo la Uzi wako ni kuitambulisha hiyo LGBT ili mapunga wasikate tamaa wakijua wanawatetezi wengi.

Unatumia njia Kama Ile ya freemason walivokua wanajivumisha kwamba wanatoana kafara at the end of the day wakafanikiwa kuwa maarufu Kama walivopanga
Mtoa mada anatoa tobo
 
ushoga ni choice/maamuzi ya mtu katika maisha, Mimi naona hakuna link yoyote Kati ya mtoto anayefi.rwa muda mrefu na kuwa shoga ila tu akiamua na kupenda kuendelea kuingiliwa ful stop sababu hata hiyo addiction/uraibu/uteja nao ni maamuzi ya kuendelea kuwa hivyo. Je unajua siku hizi kuna kitu kinaitwa prostate massage watu wanafanya either kwa kujua au kutokujua lakini ni sexual fantasy ambayo ni nusu ya ushoga watu wanafanya wanafurahia faragha yao kwaiyo hili suala linahitaji mjadala mpana zaidi kuliko huo mtazamo finyu ulioutumia
Prostate messaage ni nn hiyo mkuu?
 
haimfanyi akawa shoga, Je ukiangalia hawa watu waliofanyiwa hivyo vitendo utoto na wakawa mashoga kulinganisha na idadi ya watu hao kudhibitisha kuwa mashoga wote walitokana na hivyo vitendo?
james delicious ni shoga sababu ya kulawitiwa na jirani yao

huyo jamaa alifungwa 30yrs, james amebaki kuwa shoga maarufu tz

msimpinge mtoa mada, most of gays fatilia wametokana na kuingiliwa na watu wa karibu
 
ushoga ni choice/maamuzi ya mtu katika maisha, Mimi naona hakuna link yoyote Kati ya mtoto anayefi.rwa muda mrefu na kuwa shoga ila tu akiamua na kupenda kuendelea kuingiliwa ful stop sababu hata hiyo addiction/uraibu/uteja nao ni maamuzi ya kuendelea kuwa hivyo. Je unajua siku hizi kuna kitu kinaitwa prostate massage watu wanafanya either kwa kujua au kutokujua lakini ni sexual fantasy ambayo ni nusu ya ushoga watu wanafanya wanafurahia faragha yao kwaiyo hili suala linahitaji mjadala mpana zaidi kuliko huo mtazamo finyu ulioutumia
Prostate massage ndo kufanyeje?
 
Kwa sisi ambao tumepitia ujasusi wa saikolojia tunajua lengo la Uzi wako ni kuitambulisha hiyo LGBT ili mapunga wasikate tamaa wakijua wanawatetezi wengi.

Unatumia njia Kama Ile ya freemason walivokua wanajivumisha kwamba wanatoana kafara at the end of the day wakafanikiwa kuwa maarufu Kama walivopanga
kwasisi tuliosoma cuba mtoa mada ni mdau either shoga au basha

ukiona mtu anapinga ushoga ,kuna njia za kupinga ushoga tukiziona tunajua ni mdau

kwa saikolojia huyu ni mmoja ya hao watano au mmoja ya wanaoingilia
 
james delicious ni shoga sababu ya kulawitiwa na jirani yao

huyo jamaa alifungwa 30yrs, james amebaki kuwa shoga maarufu tz

msimpinge mtoa mada, most of gays fatilia wametokana na kuingiliwa na watu wa karibu
Hakuna lolote,, huyo james kaanza kutiwa na watoto wenzie mpaka wakubwa wakawa wanamfokoa,, kifupi aliupenda huo mchezo tangu mdogo
 
Uchoko ni chaguo,, mm naishi huku south Africa, yani huku hawa jamaa wanachukuliwa kawaida sana, kifupi hakuna anaewashangaa zaidi sisi ndo tunawashangaa, na wao wanatushangaa sisi kwa kuwashangaa,, shule zote kuanzia primary mpaka chuo kuna machoko na walimu wote wanawajua tena wanapendwa hao balaa,, hakuna mtaa uliokosa choko,, kuna mmoja nilishawahi kumuuliza kwa nini unapendwa kufirwa,, jibu lake kasema ye amechagua mwenyewe,,, so hoja ya mleta uzi wala si kweli kuwa sexual abuse ndo inafanya mtu kuwa choko,, hao wanataka wenyewe!!
 
Kwa sisi ambao tumepitia ujasusi wa saikolojia tunajua lengo la Uzi wako ni kuitambulisha hiyo LGBT ili mapunga wasikate tamaa wakijua wanawatetezi wengi.

Unatumia njia Kama Ile ya freemason walivokua wanajivumisha kwamba wanatoana kafara at the end of the day wakafanikiwa kuwa maarufu Kama walivopanga
Na jasusi mimi najua kuwa lengo la reply yako hii ni kuupromote ufreemason ili watu waone ni kitu cha maana tu na kwamba yote mabaya meengi yasemwayo ni uongo tu.
 
Na jasusi mimi najua kuwa lengo la reply yako hii ni kuupromote ufreemason ili watu waone ni kitu cha maana tu na kwamba yote mabaya meengi yasemwayo ni uongo tu.
Tunajua mnapewa posho na marupurupu mengi kwa kutetea ushoga Ila think twice,

Basha nae ni shoga mtarajiwa na ushoga mwisho wake ni kushindwa kabisa kuhimili tendo la ndoa.

Nikiangalia mbali kabisa naona huko mbeleni kutakua na biashara kubwa ya dildo kwasababu hakuna atakayeweza kumuingilia mwenzie

Watapiga hela ndefu sana kwa hizo bidhaa.

Kwa haya mafungu ya pesa wanayotenga plus Hawa watetezi Wa haki za binadam, Miaka 30 mbele kutakua na uhaba mkubwa wa wanaume(marijali)
 
Nilikuwa najaribu tu na mimi kuonyesha ulipoacha nafasi ya kuweza kushambuliwa na wewe kwa aina ya mashambulizi inayofanana na uliyoyatoa. Kama challenge hiyo imeonekana kwako kuwa naupigania ushoga na kwamba nalipwa kabisa, basi ubarikiwe sana kiongozi.
 
Kuna uthibitisho wa picha za miaka ya 1900s wanawake kwa wanawake wakioana.

Sidhani kama kuna uhusiano wa moja kwa moja wa kua shoga na kulawitiwa kwa lazima. Hii ni kwakua hata katika video za juzi tumeona jamaa akiwekwa ila alikua amedindisha.

Pia hatuna takwimu za watoto waliolawitiwa na wakawa mashoga, wala takwimu za ambao walilawitiwa na hawajawa. Hivyo madai yako ya kwamba waliopitia maisha ya kulawitiwa ni moja kwa moja wanakua mashoga sioni kama ni sahihi kwa 100%

Wakati nasoma shule ya msingi nilikua karibu na eneo linauzwa urojo watoto wengi waliingiliwa kwa kutaka kununuliwa urojo kiasi kwamba skendo ikawa kubwa jamaa akahamishwa na walimu wakatukataza kununua urojo.

Miongoni mwa ambao walikua ni case study ya wanaolawitiwa alikuepo dogo ambaye kwa sasa ni fundi makenika maarufu sana, ameoa pia. Ambacho katika saikoloji tunaweza kukithibitisha ni kwamba mtoto atakayepitia hizi sexual au physical abuse hukua akiwa na kinyongo na kujioverwork ili kucompensate yaliyowahi kutokea utotoni.

Hapa ndiyo tunakutana na mtu kama R. Kelly au Michael Jackson. Ila madai ya kwamba sexual abuse itasababisha uwe shoga nafikiri inahitajika kutafuta link ya uhakika.
Alichoandika mleta uzi ni sahihi kabisa. Unachosema hapa ni argument ambayo inalenga kutengua hoja ya mleta mada.

Mimi nina ushahidi pia na studies zaimeshafanyika kuprove hiyo kitu. Ni kweli kuwa si kila homosexual au Gay anakuwa ni zao la moja kwa moja la childhood traumatic experiences kama za kufanyiwa molestation na sexual violence. But ni kweli kuwa most of watoto waliopitia childhood molestation especially males wapo likes by 100% kujihusisha na homosexuality especially kuwa gays kwa upande wa wanaume na lesbians kwa upande wa wanawake.

So yes, mleta mada yupo sahihi kwa asilimia 100%.

Na kwahiyo scenario ya jamaa muuza urojo napenda tu nikufahamishe kuwa pia ni contributing factor ya uwepo wa homosexuals especially Gays kwasababu mtoto wa kiume ambaye amefanyiwa molestation utotoni yupo likely kurudia the same thing kwa watoto wadogo kipindi akiwa mkubwa sababu its one of bad experience au category ya childhood traumas ambazo zina affect makuzi ya ubongo katika eneo la sexuality.

Asante.
 
Una mawazo kama yangu ikiwa ushoga unasababishwa na kulawitiwa utotoni vipi kuhusu usagaji?

Kulawaitiwa ndo kukufanye hata usitamani mwanamke na umtaman mwanume mwenzio? Wanawake walivyo wazuri kweli.

Ushoga na usagaji ni pande mbili za sarafu moja. Kisaikolojia hiyo hali ni aina ya disorder wale wamezaliwa hivyo hivyo na huo ulemavu basi.

Mleta mada nenda katafiti zaidi ingia hata fb kuna mashoga kibao jaribu kuwapeleleza uone walianzaje.
Umetumia aya ndogo kuconclude mada nzima. This is poor comprehensive reading mkuu. Unatakiwa uelewe maudhui ya mwandishi kwa ujumla wa habari yake ili hata akiwa bad writer uweze kumuelewa as a skillful reader.

Anyways. Jifunze kusoma mwanzo hadi mwisho kisha fikirisha kichwa chako kutokana na kila detail. Sio unachukua kijisehemu cha aya ya habari nzima then unakitumia kujenga hoja ya kubatilisha the whole text and its context.

Improve.
 
Back
Top Bottom