Nawahi mno kufika..

Hapa kuna walakini,Dawa ya kunichelewesha,mmmhhhh kwanini usingesema kuchelewesha ili isikulenge wewe???? Hapa napata picture kwamba muulizaji ni mwanamme,kuwa wazi mkuu hii ni jf the home of gt,kama hukificha maradhi unayeumia ni wewe!!

"Kwa nini usingeuliza mimi ni mwanamme ninawahi sana kufika kileleni,hivyo simridhishi mpenzi wangu,wana jf naomba mnifahamishe dawa ya kuchelewa kufika kileleni?"

Navyojua mimi kwa mwanamke akishafika kileleni na kadiri m/me unavyoendelea ndo more pleasure anapata m/ke..JIPANGE KAKA UULIZE VIZURI COPY ILO SWALI LANGU ULIULIZA TENA

wapendwa kuna m2 anafaham mahal naweza pata dawa ya kunichelewesha kufika kilelen?! NB: Ni kwa ajil ya rafik yang wa kike kaniomba msaada yeye c member wa jf
 
Mwambie na jamaa yake awahi!
Dada akirelax anaweza pata another orgasm, shida kubwa watu wengi hufanya ile kitu na mistress, migoal ya say kupiga bao kadhaa au kulast say 45 mns etc! Mngekuwa bila objective au at least objective ingekuwa kuenjey a lot of the things zingekuja automaticaly na dada angepata multiple orgasm na mkaka angecome vizuri tu!
 
wapendwa kuna m2 anafaham mahal naweza pata dawa ya kunichelewesha kufika kilelen?! NB: Ni kwa ajil ya rafik yang wa kike kaniomba msaada yeye c member wa jf
<br />
<br />
Dah! Mi na wish angekuwa wangu huyo! Hamna raha ninayopata kama kumfikisha mwanamke kileleni! It makes me a real man!
 
Jaribu kabla ya tendo la ndoa yenu au penzi lenu kunywa kikombe kimoja cha kahawa ya moto. Au ule chokoleti kabla ya saa moja kuanza kufanya hilo tendo lenu la ndoa au mapenzi hiyo itakusaidia kuchelewa kufika hiyo safari yako.
 
Jina lako lilinifanya ni assume ni mwanamke.... This post however inaonesha ka vile a guy..

After a week nitaku pm - na suggestion yangu... for leo siwezi kabisa... nikisahau na you

still need more answers utanikumbusha... However sio guarantee kua ndo jibu sahihi...

Best of Luck... na nina imani other members watakuja ja ushauri zaidi...

Love hadi tusherehekee Iddi kwa amani kabisa.....
:msela::peace::moony:
 
mmmh,mwambie amuone daktari kwa kweli,angekuwa men ningempa mbinu za ukweliaisee!!!!
 
mwanamke ni kawaida kumaliza mapema jifunze tu kumvumilia mwenzako mpaka amalize na yeye
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom