Nawahi kufika kileleni

mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
187
Points
250
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined Apr 18, 2019
187 250
Mwanaume hata lile la kwanza unapaswa umalize hadi ukisikia anasema anaomba akanywe maji
Dawa kubwa kwa mwanaume uweze ku-hold hisia zako
Ila ukiona unamaliza hata hajakuita jina lolote ambalo hamuitani mkiwa katika mazungumzo ya kawaida hilo tatizo

Watakufariji sana hawa viumbe kama ni kawaida ila kumbuka hadi akuambie naomba nipumzike huyo atakusimulia hadi kwa shoga zake

but all inall mjue mwanamke anahitaji nini Mpe anachohitaji Baasi utakuwa umemaliza kazi
haya ukimaliza kwa dakika but akipata anachohitaj hakuna shida yoyote

usitumie dawa yoyote mkuu, hii kitu inahitaji lishe tu, ukiwa na lishe njema kila kitu sawa

just assume umepanda mbegu jangwani na hamna maji unaweka mbolea tu kitatokea nini hapo?

Sioni kama unaumwa ndugu, Punguza vya kula vya mafuta pamoja na karanga aunazoshauliwa kula sama samaki na ugali na kachumbali kitunguu kwa wingi usioshe(Ukimaliza kula sugua na meno)
Kunywa maji ya uvuguvugu unapokwenda kulala yaliyochemshwa pamoja na tangawizi, kwa wiki moja tu
kila ukiamka asubuhi utaona mwenyewe kuwa umerudi kama utotoni

sikushauri kukimbia ila kama unabaiskeli nakushauri walau kila siku endesha kwa km hata 5 joint za miguu ziwe fiti zaidi

piga push up 25-30 wakati wakulala na kuamka(inakujenga kiafya sio kukutunisha misuli)

Mwisho kumbuka mwanaume una mechi mbili duniani
ya hela na kitandani
hakikisha unatoka 1-1 ama unashinda kabisa 2-0
ukipigwa 0-2
umekwisha ndugu yangu

zingatia lishe na mazoezi
Asante mkuu
 
Kim Jackinho

Kim Jackinho

Member
Joined
Dec 17, 2018
Messages
56
Points
125
Kim Jackinho

Kim Jackinho

Member
Joined Dec 17, 2018
56 125
Bro,,usiwazie saaana upande wako waza je, mwenzi wangu anaridika? Je, anafka kilelen?
Only that ayo madakika yaachie SAA.
 
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
4,886
Points
2,000
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
4,886 2,000
Kama baada ya mzunguko wa kwanza unaweza kuendelea hamna shida.

Pia, unaweza kubadilika ukiamua.Haya mambo wakati mwingine ni mazoea.Ukihisi wazungu wanakaribia mtoe nyoka pangoni, fanya mambo mengine(mambo ya kufanya ni mengi ukiachana na penetration) hlf uendelee mdogo mdogo na ukiweza uweke mawazo nje kidogo.

Jaribu kutafuta notes za technique za edging.
 
malimungu

malimungu

Member
Joined
Apr 8, 2019
Messages
21
Points
45
malimungu

malimungu

Member
Joined Apr 8, 2019
21 45
Mwanaume hata lile la kwanza unapaswa umalize hadi ukisikia anasema anaomba akanywe maji
Dawa kubwa kwa mwanaume uweze ku-hold hisia zako
Ila ukiona unamaliza hata hajakuita jina lolote ambalo hamuitani mkiwa katika mazungumzo ya kawaida hilo tatizo

Watakufariji sana hawa viumbe kama ni kawaida ila kumbuka hadi akuambie naomba nipumzike huyo atakusimulia hadi kwa shoga zake

but all inall mjue mwanamke anahitaji nini Mpe anachohitaji Baasi utakuwa umemaliza kazi
haya ukimaliza kwa dakika but akipata anachohitaj hakuna shida yoyote

usitumie dawa yoyote mkuu, hii kitu inahitaji lishe tu, ukiwa na lishe njema kila kitu sawa

just assume umepanda mbegu jangwani na hamna maji unaweka mbolea tu kitatokea nini hapo?

Sioni kama unaumwa ndugu, Punguza vya kula vya mafuta pamoja na karanga aunazoshauliwa kula sama samaki na ugali na kachumbali kitunguu kwa wingi usioshe(Ukimaliza kula sugua na meno)
Kunywa maji ya uvuguvugu unapokwenda kulala yaliyochemshwa pamoja na tangawizi, kwa wiki moja tu
kila ukiamka asubuhi utaona mwenyewe kuwa umerudi kama utotoni

sikushauri kukimbia ila kama unabaiskeli nakushauri walau kila siku endesha kwa km hata 5 joint za miguu ziwe fiti zaidi

piga push up 25-30 wakati wakulala na kuamka(inakujenga kiafya sio kukutunisha misuli)

Mwisho kumbuka mwanaume una mechi mbili duniani
ya hela na kitandani
hakikisha unatoka 1-1 ama unashinda kabisa 2-0
ukipigwa 0-2
umekwisha ndugu yangu

zingatia lishe na mazoezi
Asante mkuu kwa kufunga uzi
 
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
187
Points
250
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined Apr 18, 2019
187 250
Mkuu goli la pili nalo unawai?
mkuu la pili mpaka nivute hisia sana la sivo nkiwaza kingine napiga mpaka nachoka, ila ubaya upo hapa ukivuta hisia kwingine huwa mzigo inapungua nguvu kama unaenda kunywea flani ivi
 
1kush africa

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
5,719
Points
2,000
1kush africa

1kush africa

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
5,719 2,000
Mwanaume hata lile la kwanza unapaswa umalize hadi ukisikia anasema anaomba akanywe maji
Dawa kubwa kwa mwanaume uweze ku-hold hisia zako
Ila ukiona unamaliza hata hajakuita jina lolote ambalo hamuitani mkiwa katika mazungumzo ya kawaida hilo tatizo

Watakufariji sana hawa viumbe kama ni kawaida ila kumbuka hadi akuambie naomba nipumzike huyo atakusimulia hadi kwa shoga zake

but all inall mjue mwanamke anahitaji nini Mpe anachohitaji Baasi utakuwa umemaliza kazi
haya ukimaliza kwa dakika but akipata anachohitaj hakuna shida yoyote

usitumie dawa yoyote mkuu, hii kitu inahitaji lishe tu, ukiwa na lishe njema kila kitu sawa

just assume umepanda mbegu jangwani na hamna maji unaweka mbolea tu kitatokea nini hapo?

Sioni kama unaumwa ndugu, Punguza vya kula vya mafuta pamoja na karanga aunazoshauliwa kula sama samaki na ugali na kachumbali kitunguu kwa wingi usioshe(Ukimaliza kula sugua na meno)
Kunywa maji ya uvuguvugu unapokwenda kulala yaliyochemshwa pamoja na tangawizi, kwa wiki moja tu
kila ukiamka asubuhi utaona mwenyewe kuwa umerudi kama utotoni

sikushauri kukimbia ila kama unabaiskeli nakushauri walau kila siku endesha kwa km hata 5 joint za miguu ziwe fiti zaidi

piga push up 25-30 wakati wakulala na kuamka(inakujenga kiafya sio kukutunisha misuli)

Mwisho kumbuka mwanaume una mechi mbili duniani
ya hela na kitandani
hakikisha unatoka 1-1 ama unashinda kabisa 2-0
ukipigwa 0-2
umekwisha ndugu yangu

zingatia lishe na mazoezi
Mkuu unajua kuandika hongera sana
 
Hanitoni

Hanitoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Messages
1,135
Points
2,000
Hanitoni

Hanitoni

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2015
1,135 2,000
Ww mzunguko wa kwanza dk kumi kujichosha tu.. humu wenyew wengi bao la kwanza halifiki dk 5 ila kwasisi wengine huwa la kwanza na la pili tunadabo ndyo maana tunachelewa kushuka
Kabisa mkuu unaunganisha matokeo yake humalizi kbsa maana mtt anakua kuchoka balaa
 
Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top