Nawahi kufika kileleni

Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,438
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,438 2,000
Pole sana...

Jiwazishe madeni au shida, utachelewa... unajiachia sana ndiyo maana unamwaga faster...

Cc: mahondaw
 
King mkucha

King mkucha

Member
Joined
Oct 14, 2016
Messages
77
Points
125
King mkucha

King mkucha

Member
Joined Oct 14, 2016
77 125
Ww mzunguko wa kwanza dk kumi kujichosha tu.. humu wenyew wengi bao la kwanza halifiki dk 5 ila kwasisi wengine huwa la kwanza na la pili tunadabo ndyo maana tunachelewa kushuka
 
Z

Zuckerman

Senior Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
185
Points
250
Z

Zuckerman

Senior Member
Joined Jun 14, 2016
185 250
Spray gani mkuu
Vumbi la congo ni upambavu. Kitu hakina TBS, utaratibu wa kutumia mpaka ufunge na kimfuko masaa kibao. Demu akikushtukiza papo kwa papo mission inafail. Spray dk 2 tuu unaingia kwenye show
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,237
Points
2,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,237 2,000
Mwanaume hata lile la kwanza unapaswa umalize hadi ukisikia anasema anaomba akanywe maji
Dawa kubwa kwa mwanaume uweze ku-hold hisia zako
Ila ukiona unamaliza hata hajakuita jina lolote ambalo hamuitani mkiwa katika mazungumzo ya kawaida hilo tatizo

Watakufariji sana hawa viumbe kama ni kawaida ila kumbuka hadi akuambie naomba nipumzike huyo atakusimulia hadi kwa shoga zake

but all inall mjue mwanamke anahitaji nini Mpe anachohitaji Baasi utakuwa umemaliza kazi
haya ukimaliza kwa dakika but akipata anachohitaj hakuna shida yoyote

usitumie dawa yoyote mkuu, hii kitu inahitaji lishe tu, ukiwa na lishe njema kila kitu sawa

just assume umepanda mbegu jangwani na hamna maji unaweka mbolea tu kitatokea nini hapo?

Sioni kama unaumwa ndugu, Punguza vya kula vya mafuta pamoja na karanga aunazoshauliwa kula sama samaki na ugali na kachumbali kitunguu kwa wingi usioshe(Ukimaliza kula sugua na meno)
Kunywa maji ya uvuguvugu unapokwenda kulala yaliyochemshwa pamoja na tangawizi, kwa wiki moja tu
kila ukiamka asubuhi utaona mwenyewe kuwa umerudi kama utotoni

sikushauri kukimbia ila kama unabaiskeli nakushauri walau kila siku endesha kwa km hata 5 joint za miguu ziwe fiti zaidi

piga push up 25-30 wakati wakulala na kuamka(inakujenga kiafya sio kukutunisha misuli)

Mwisho kumbuka mwanaume una mechi mbili duniani
ya hela na kitandani
hakikisha unatoka 1-1 ama unashinda kabisa 2-0
ukipigwa 0-2
umekwisha ndugu yangu

zingatia lishe na mazoezi
 
mchana kweupee

mchana kweupee

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
206
Points
250
mchana kweupee

mchana kweupee

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2019
206 250
Mwanaume hata lile la kwanza unapaswa umalize hadi ukisikia anasema anaomba akanywe maji
Dawa kubwa kwa mwanaume uweze ku-hold hisia zako
Ila ukiona unamaliza hata hajakuita jina lolote ambalo hamuitani mkiwa katika mazungumzo ya kawaida hilo tatizo

Watakufariji sana hawa viumbe kama ni kawaida ila kumbuka hadi akuambie naomba nipumzike huyo atakusimulia hadi kwa shoga zake

but all inall mjue mwanamke anahitaji nini Mpe anachohitaji Baasi utakuwa umemaliza kazi
haya ukimaliza kwa dakika but akipata anachohitaj hakuna shida yoyote

usitumie dawa yoyote mkuu, hii kitu inahitaji lishe tu, ukiwa na lishe njema kila kitu sawa

just assume umepanda mbegu jangwani na hamna maji unaweka mbolea tu kitatokea nini hapo?

Sioni kama unaumwa ndugu, Punguza vya kula vya mafuta pamoja na karanga aunazoshauliwa kula sama samaki na ugali na kachumbali kitunguu kwa wingi usioshe(Ukimaliza kula sugua na meno)
Kunywa maji ya uvuguvugu unapokwenda kulala yaliyochemshwa pamoja na tangawizi, kwa wiki moja tu
kila ukiamka asubuhi utaona mwenyewe kuwa umerudi kama utotoni

sikushauri kukimbia ila kama unabaiskeli nakushauri walau kila siku endesha kwa km hata 5 joint za miguu ziwe fiti zaidi

piga push up 25-30 wakati wakulala na kuamka(inakujenga kiafya sio kukutunisha misuli)

Mwisho kumbuka mwanaume una mechi mbili duniani
ya hela na kitandani
hakikisha unatoka 1-1 ama unashinda kabisa 2-0
ukipigwa 0-2
umekwisha ndugu yangu

zingatia lishe na mazoezi
Asante mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,334,908
Members 512,150
Posts 32,490,423
Top