Nawahi kufika kileleni

point zero

point zero

Member
Joined
Feb 23, 2019
Messages
33
Points
125
point zero

point zero

Member
Joined Feb 23, 2019
33 125
Habari wakuu, naombeni ushauri wenu kwasasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kipindi nafanya mapenzi, sasa nimekuwa simalizi dakika 4 mzunguko wa kwanza.

Ushauri wenu wakuu.

asante.
Sio tatizo hilo we mzimaa sana
Unataka uchelewe ili mchubuane mpeane magonjwa
 
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
2,851
Points
2,000
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
2,851 2,000
Habari wakuu, naombeni ushauri wenu kwasasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kipindi nafanya mapenzi, sasa nimekuwa simalizi dakika 4 mzunguko wa kwanza.

Ushauri wenu wakuu.

asante.
Upo Sawa kwa first round
screenshot_20190608-174018-jpeg.1121826
 
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
791
Points
1,000
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
791 1,000
Acha kupanda milima fanya shuli nyingine. Choma ata mkaa
 
exit

exit

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
1,630
Points
2,000
exit

exit

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
1,630 2,000
Tuanzie hapa kwanza. Kwani ukiwahi kufika kileleni utamu unabadilika?
Tumia muda uliobaki baada ya tendo kutafuta pesa.
 
Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
5,051
Points
2,000
Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
5,051 2,000
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
Kwa niaba,naomba umuulize mtoa mada,..je hyo dk ni kavu au na ndom,..maana aibu naona mim
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,399
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,399 2,000
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
Je akishafika ndani ya dakika moja, munaridhaka? Sio ndio nyie minaanza dharau, matusi, na kuchepuka
 
Forum statistics

Threads 1,326,918
Members 509,644
Posts 32,240,112
Top