Nawahi kufika kileleni

B

Bwana Utam

Senior Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
105
Points
225
B

Bwana Utam

Senior Member
Joined Feb 15, 2016
105 225
Raha ya huo mchezo ni kumwaga, tena bao la mapema ni tamu sana cha msingi mapigo yaendelee.

Niliwahi paka vumbi wazungu hawaji nikaona upuuzi tu.
Wee fala ume nichekesha sana asee wazungu uliona wamegoma kushuka kwa ndege asee vijana 2najiua sana na hizo mambo vile basi 2 yaan
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
4,985
Points
2,000
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
4,985 2,000
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
asante dada, nashangaa sana wanaume, mimi mwenyewe nina mwaume wangu, nikitoka siku zangu huwa anakuwa na hamu sana, sasa nikimpa utamu ndani ya dakika anakojoa, alafu anaanza kujilaumu lakini mimi namoi namwambia hakuna shida kwakuwa na mimi nakojoa naye, ni raha sana.,
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,522
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,522 2,000
Mwanaume hata lile la kwanza unapaswa umalize hadi ukisikia anasema anaomba akanywe maji
Dawa kubwa kwa mwanaume uweze ku-hold hisia zako
Ila ukiona unamaliza hata hajakuita jina lolote ambalo hamuitani mkiwa katika mazungumzo ya kawaida hilo tatizo

Watakufariji sana hawa viumbe kama ni kawaida ila kumbuka hadi akuambie naomba nipumzike huyo atakusimulia hadi kwa shoga zake

but all inall mjue mwanamke anahitaji nini Mpe anachohitaji Baasi utakuwa umemaliza kazi
haya ukimaliza kwa dakika but akipata anachohitaj hakuna shida yoyote

usitumie dawa yoyote mkuu, hii kitu inahitaji lishe tu, ukiwa na lishe njema kila kitu sawa

just assume umepanda mbegu jangwani na hamna maji unaweka mbolea tu kitatokea nini hapo?

Sioni kama unaumwa ndugu, Punguza vya kula vya mafuta pamoja na karanga aunazoshauliwa kula sama samaki na ugali na kachumbali kitunguu kwa wingi usioshe(Ukimaliza kula sugua na meno)
Kunywa maji ya uvuguvugu unapokwenda kulala yaliyochemshwa pamoja na tangawizi, kwa wiki moja tu
kila ukiamka asubuhi utaona mwenyewe kuwa umerudi kama utotoni

sikushauri kukimbia ila kama unabaiskeli nakushauri walau kila siku endesha kwa km hata 5 joint za miguu ziwe fiti zaidi

piga push up 25-30 wakati wakulala na kuamka(inakujenga kiafya sio kukutunisha misuli)

Mwisho kumbuka mwanaume una mechi mbili duniani
ya hela na kitandani
hakikisha unatoka 1-1 ama unashinda kabisa 2-0
ukipigwa 0-2
umekwisha ndugu yangu

zingatia lishe na mazoezi
wee boya umeshauri vizuri kinoma, sasa huu ushauri asipozingatia baaaasii atakunywa mpaka chill hatopata kitu.
 
M

MjombaRiziki

Senior Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
101
Points
225
M

MjombaRiziki

Senior Member
Joined Feb 14, 2013
101 225
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
Ndio wanavyotunanga hivi!
 
1kush africa

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
5,718
Points
2,000
1kush africa

1kush africa

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
5,718 2,000
asante dada, nashangaa sana wanaume, mimi mwenyewe nina mwaume wangu, nikitoka siku zangu huwa anakuwa na hamu sana, sasa nikimpa utamu ndani ya dakika anakojoa, alafu anaanza kujilaumu lakini mimi namoi namwambia hakuna shida kwakuwa na mimi nakojoa naye, ni raha sana.,
Ukipata mwanamke anayejielewa kama wewe raha sanaa, endelea kumtunza mwamba wetu
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
30,525
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
30,525 2,000
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
Na kweli presha zao tu za kutaka kukigeuza kile kitendo ni cha kukomoana.

Sababu hayo madakika wanayoyata sijui dkk 40 sijui 50 mwisho wa siku anaepata maumivu ni Ke yaani hatakuwa na anachokifeel hapo.
 

Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top