Nawahi kufika kileleni

mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
182
Points
250
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined Apr 18, 2019
182 250
Habari wakuu, naombeni ushauri wenu kwasasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kipindi nafanya mapenzi, sasa nimekuwa simalizi dakika 4 mzunguko wa kwanza.

Ushauri wenu wakuu.

asante.
 
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
15,246
Points
2,000
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2014
15,246 2,000
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
 
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined
Apr 18, 2019
Messages
182
Points
250
mchana kweupee

mchana kweupee

Senior Member
Joined Apr 18, 2019
182 250
Kwani ukiwahi kufika kileleni unadhurika?
Unajua siku hizi wanaume mnajipa mateso yasiyo ya lazima.
Ukijisikia kufika kileleni hata baada ya dakika 1 wewe fika kama hauwezi kujizuia.
dooonh kudharaulika huku
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
7,998
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
7,998 2,000
habari wakuu, naombeni ushauli wenu kwasasa nmekuwa nikisumbuliwa natatizo lakuwahi kufika kileleni kipind nafanya mapenzi, sasa nmekuwa simalizi dakika 4 mzunguko wakwanza, ushauli wen wakuu.
asante.
Ahaaa haaa haaa
Muda mrefu ni upi na mfupi ni upi?
Vijiwe vinaharibu sana watu siku hizi.
Cha msingi hapo ni kufanya maandalizi ya kutosha ili kusudi utakapoanza yeye ndiye awe wa kwanza kufika Kibo au Mawenzi.
Maandali si muda ambao mtaonana, siku hizi kuna simu, hata ukiwa mbali unaweza kumuandaa kwa kumtumia ujumbe moto moto wa mahaba. Mfano: Mrembo nakutamani!! Au Kichuna nimekumisi. Ukimjulia mpenzi wako yaani ni raha. Maana unaweza kumpagawisha ata ukiwa mbali.
 

Forum statistics

Threads 1,314,670
Members 505,013
Posts 31,835,004
Top