Nawaheshimu sana wahenga kwa msemo huu!

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,159
691
Habari wadau!


Kuna misemo mingi sana wahenga wamesema lakini huu ni kiboko,
"Mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu mchungu",yani kuna watu
Huwa wanajisifu wao ni mahodari
Wa kuacha wenza wao,utasikia mmi
Huwa siachi bali huwa na acha.


Sasa subiri na yeye siku akiachwa anavyoumia utafikiri mchezaji wa mpira aliyejifunga goli siku ya fainali,Kweli "Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu",kuna ex wangu niliwahi kutaka kumuoa akanikataa eti kisa alipata mzungu
Wa kijerumani,alifikiri wazungu huwa hawaachi,sasa mzungu naye
Kamuacha kwenye mataa,aisee ex wangu amekonda ghafla na kufubaa
Kama Bibi,"what goes around,comes round",aisee atanisamehe tu kama yupo humu,ila ujumbe umefika.


Tamaa wanawake zinawaponza sana,",Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Mchungu",sasa hivi
Mmi nakula bata ngoja nayeye
Apitie yale machungu niliyopata
Kiplindi aliponiacha"karma is the
bitch",hahahhh!,
 
Naam, hiyo ndio kawaida ya hii kitu; ukimliza mwenzio kwa maumivu na wewe jiandae ipo siku yako yaja!
 
Wewe hujamuendea msata mwenzi kwa kaka mshana jr lakini.😃😃


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ulaya ungesikia " ooh sorry my love, its OK you'll be just fine"

Bongo, "acha akome kuringa alikuwa anajidai sana"

Hadi unashangaa mtu kinachomfanya awe na roho mbaya ni nini kama walishaachana?
 
Me kuna mmoja ameniumiza sana baada ya kubain nampenda so hiv karibun amekuwa anakuja na kuomba turudiane tuwe kama zaman ila sina hata iman nae kwa kile alichonitendea
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom