Nawahakikishia wanavyuo migomo na maandamano ni haki ya kila raia. Tugomeni!!!!!!!!!!

RICHMAHOO

Member
Jan 15, 2011
49
14
Ninaposema maandamano na migomo ni haki yetu wala tusiiogope.

Uthibitisho utaupata hata kwa hawa watoto wa mafisadi uvccm wanaposhindwa kuwashawishi baba zao ili wapate haki zao na kuamua kuchukua njia sahihi za kudai haki ambapo ni maandamano na migomo.

Cha kujifunza ni kwamba kama baba ameshindwa kumsikiliza mwanae aliye nae nyumbani ambao wanaamka pamoja na kula pamoja wewe mwanafunzi wa udsm,udom,mzumbe,sua,na vyuo vingine mtasikilizwaje?

Nimesoma tangu o level mpaka chuo kikuu nilishiriki migomo ndipo nipewe haki. Lakini pia hakuna mgomo usiokuwa na impact. Nasisitiza sana wanafunzi vyuoni tugomeni nitawaunga mkono kama ilivyo ada kwangu.
 
Kwa sasa hivi inavyoonyesha bongo, ni kwamba hupati haki yako bila kugoma, iwe shuleni, kazini au hata kwenye biashara. Ingawa sio utaratibu mzuri. Lakini watawala wetu ndio wametufikisha hapo, kwani mara nyingi wanapuuza haki za msingi za binadamu kwa kujali maslahi yao binafsi, familia zao na marafiki zao.
 
Kwa point hizi ulizotoa mkuu, hata mimi nakuunga mkono!!
 
Back
Top Bottom