Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz

Kuna hiki ki mazda na vi honda fit
Ukikaa n Kama umekalia chiini aiseee
 
Nakumbuka kuna kipindi nipo maeneo ya USA river na pikipiki yangu ya fekon, kuna jamaa na vikaptula vyao walikuwa na IST yao iliisha mafuta wanenifuata na kidumu wamepanic sijui na dharau "oya niaje kalete mafuta", kumbe ni usafiri wangu binafsi hata sina mpango jamaa nawaelewesha wananiambia "wewe sema shillingi ngapi, tatizo si hela tu" nilisepa tu sikutaka maneno !
 
duh mbona maneno makali sana ndugu?
Unamiliki IST tayari unatembea na panga je ungemiliki BMW X6 si ungetembea na kifaru 😂 😂 😂 😂😂😂
🤣👇
20210725_083308.jpg
 
duh mbona maneno makali sana ndugu?
Unamiliki IST tayari unatembea na panga je ungemiliki BMW X6 si ungetembea na kifaru
Hayajakukuta chief
Unaweza kuwa umekosewa na katika kutaka suluhu ukaletewa unyonge vilevile

nikiwa na x6 sitakosa kwaju

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukinunua viatu vizuri ukaweka kwenye kabati kisha ukavaa ndala miba na vyupa vitakuchoma tu bila kujali una viatu nyumbani.
Hata hivyo kuna siku moja moja utavaa ndala na siku nyingine utavaa viatu. Kwa watu wasiokuwa na uwezo ndio uwa wanajimwambafy sana na vitu kama magari. Mie wala sijali kwa kuwa najua nilichonacho na naishi kama nitakavyo.

Naipenda Vitz kwa kuwa iko economy kwenye mafuta na parking mjini ni rahisi sana. Nikitaka kwenda safari ya mbali nitatumia gari kubwa au kama kuna issue ninakutana na watu tuna bargain nitakuja kibosi bosi na ndinga kubwa. Ila kama naenda kazini kikawaida, au nina mishe tu za kawaida natumia Vitz kusave mafuta ingawa nayo pia sio issue kivile ila nina akili ya kijasiliamali
 
Mkuu hata wewe haya maneno yako kuna atasema unajimwamafy
 
Mkuu hata wewe haya maneno yako kuna atasema unajimwamafy
Mie naongea kueleza uhalisia wa mambo na nasimama wanaoendesha Vitz ambao wanadharauliwa sana.

Usimdharau mtu kwa vitu unavyoviona. Kuna jamaa mmoja Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi uwa anapanda daladala kuja kwenye biashara yake. Yule jamaa kwa siku anauza zaidi ya milioni 10 na ukimuona utadhani Mbwiga fulani tu
 
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
Bora huyo mwanasiasa. Kuna yule mama mkwe umempakia unampeleka CCBRT kucheki vijicho vyake vibovu kwa pesa zako. Upo unahangaika kunyata kwenye mashimo na ki-IST chako, linapita V8 , linafukia makorongo likinesanesa. Vruum! Vruuum! Ndukii! Basi mmama unamsikia "mwanaume huyo!" Inakera sana aisee! Eeeh! Tutafute pesa jamani.
 
Hahahaaa kuna jamaa ni TISS yaani yeye akija hata bar kunywa gari yake aizimi anaacha inaunguruma mpaka amalinze kunywa au kula! Huwa najiuliza kama anaiga viongozi wa serikali wanavyofanya kwenye mafuta ya bure ina maana akiwa nyumbani kwake gari nayo haizimi au mwembewe/showoff?
Dah hiyo engine anaitesa mno! Yani anaichosha vibaya sana kwa upumbavu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom