Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz

Kumuelewa huyo Mwanasiasa ni ngumu, yeye kaamanisha ukipata hicho Ki Ist chako unaona maisha umeyapatia mengine hayakuhusu, Mbowe kuitwa gaidi wew haikuhusu, CCM kuongeza tozo wewe haikuhusu, kumbakia watu kesi wew haikuhusu, unajiona wewe ni tajiri tayari, kumbe ni maskini mwenye nafuu tu.
Duh kagonga ikulu!
 
Mshamba Sana aliyeongea hivyo..
Hana akili..
Watu Wana Range Rover na bado Wana IST ..

Kulazimishana mitazamo ya kisiasa in a very abusive language...

No wonder naamini ana background ya ujambazi...

Mwanasiasa anatakiwa ashawishi watu
Sio Ku attack na kuponda certain group
 
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
Nawakumbusha tu kuwa, ukinywa maji ya chupa, usione anaye kunywa maji ya mto ni mjinga!
 
Afadhali kuwa maskini mwenye nafuu!
Haswaaa...Kuliko fisadi na mkwepa kodi..mfyuuuuuu..hao wabunge nini wanaringia kama sio kodi zetu...hivi kama na wao wangekuwa wanalipa kodi tunazolipa wananchi ...wanafikiri jeuri ya kuendesha v8 ingekuwepo? Siku zinahesabika..watarudi tu mtaani tubanane kwenye mwendo kasi.....
 
Wanavaa tishirt za jezi au formsix wakishapiga na kaptura zile za draftidrafti au zile kaptura za pocket pembeni, kuta wanavaa visendoz na soksi na miwani juu, walipokaa vingereza vingi utahisi mipango ya kweli kumbe ni swaga tu hua nacheka sana
 
Sasa ukikutana na mtu anasukuma discovery kwanza kala jeanz casual, shati au tishet casual kiatu ni american boot, timberland, clacks na hana maneno mengi utaona mezani pana grants, Jackdaniel, gordon, halafu akipigiwa simu haongei kwa sauti kubwa ni kidogo kakata utaona kama sio discovery, VW , Ranger, Range hapo unajua mipango ipo yaani full of civilization
 
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
haya wanakuja kujibu
 
wanavaa night dress ili wakiaga wake zao ionekane hawaendi mbali...
dume kubwa mapumbuu makubwa unaendesha IST je ukiyakalia utamlaumu nani??!!halafu unakuta linakupigia honi kwenye mataa ukiwa ndani land cruiser long base fabricated body abuse for africa!!bullshiiitin
 
Aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom