Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz....

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,239
2,000
Mungu akitaka kukushusha anakupa kiburi, dharau, majivuno na mengine kama hayo.

KWELI, leo hii kuna mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuponda ist zinazomilikiwa na watanzania wenzake?

Labda sio mtanzania anayefahamu hustles halisi za watanzania ambao wengi wetu tunapambania milo mitatu kwa siku.

Wamiliki wa gari mitumba mmeanza kuzodoana? Ngozi nyeusi imelaaniwa.

Anyway sisi wa ist tuendelee kumpa 'Mungu utukufu wake kwa kutuheshimisha na ist zetu'. Amen.

Punguzeni vurugu bwana

Mbona sisi na passo zetu barabarani tumetulia
 
nG'aMBu

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
1,656
2,000
Ningekuwa mimi ningemfurahisha mbona

Unamchana tu mshamba huyo
Naweka mafuta ya elfu kumi na tano kila siku humu wewe hesabu ni elfu kumi tu lakini bado unadaiwa na boss wako choko we usiongee Kama una kipande cha kuni kwenye kalio sikazi machoko mm katafute basha mbele huko akufirimbe punga we

Lakini naongea hivyo Sikosagi kipande cha panga chini ya siti kwa dharura
Njiani kuna mambo mengi
Unaenda nae sawa tu ukiona mambo yanakuwa mengi unatoa zuna unamkata upepo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
duh mbona maneno makali sana ndugu?
Unamiliki IST tayari unatembea na panga je ungemiliki BMW X6 si ungetembea na kifaru ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unakuwa haujajitofautisha na huyo Bodaboda
Kuna level ukifika wala huna haja ya kuwa provoked na vitu vyepesi kama hivyo
 
usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,251
2,000
Kuna hiki ki mazda na vi honda fit
Ukikaa n Kama umekalia chiini aiseee
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
4,552
2,000
Nakumbuka kuna kipindi nipo maeneo ya USA river na pikipiki yangu ya fekon, kuna jamaa na vikaptula vyao walikuwa na IST yao iliisha mafuta wanenifuata na kidumu wamepanic sijui na dharau "oya niaje kalete mafuta", kumbe ni usafiri wangu binafsi hata sina mpango jamaa nawaelewesha wananiambia "wewe sema shillingi ngapi, tatizo si hela tu" nilisepa tu sikutaka maneno !
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
4,552
2,000
duh mbona maneno makali sana ndugu?
Unamiliki IST tayari unatembea na panga je ungemiliki BMW X6 si ungetembea na kifaru ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
20210725_083308.jpg
 
nduza

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,223
2,000
duh mbona maneno makali sana ndugu?
Unamiliki IST tayari unatembea na panga je ungemiliki BMW X6 si ungetembea na kifaru
Hayajakukuta chief
Unaweza kuwa umekosewa na katika kutaka suluhu ukaletewa unyonge vilevile

nikiwa na x6 sitakosa kwaju

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,188
2,000
Ukinunua viatu vizuri ukaweka kwenye kabati kisha ukavaa ndala miba na vyupa vitakuchoma tu bila kujali una viatu nyumbani.
Hata hivyo kuna siku moja moja utavaa ndala na siku nyingine utavaa viatu. Kwa watu wasiokuwa na uwezo ndio uwa wanajimwambafy sana na vitu kama magari. Mie wala sijali kwa kuwa najua nilichonacho na naishi kama nitakavyo.

Naipenda Vitz kwa kuwa iko economy kwenye mafuta na parking mjini ni rahisi sana. Nikitaka kwenda safari ya mbali nitatumia gari kubwa au kama kuna issue ninakutana na watu tuna bargain nitakuja kibosi bosi na ndinga kubwa. Ila kama naenda kazini kikawaida, au nina mishe tu za kawaida natumia Vitz kusave mafuta ingawa nayo pia sio issue kivile ila nina akili ya kijasiliamali
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,165

Mkuu hata wewe haya maneno yako kuna atasema unajimwamafy
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,188
2,000
Mkuu hata wewe haya maneno yako kuna atasema unajimwamafy
Mie naongea kueleza uhalisia wa mambo na nasimama wanaoendesha Vitz ambao wanadharauliwa sana.

Usimdharau mtu kwa vitu unavyoviona. Kuna jamaa mmoja Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi uwa anapanda daladala kuja kwenye biashara yake. Yule jamaa kwa siku anauza zaidi ya milioni 10 na ukimuona utadhani Mbwiga fulani tu
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,451
2,000
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
Bora huyo mwanasiasa. Kuna yule mama mkwe umempakia unampeleka CCBRT kucheki vijicho vyake vibovu kwa pesa zako. Upo unahangaika kunyata kwenye mashimo na ki-IST chako, linapita V8 , linafukia makorongo likinesanesa. Vruum! Vruuum! Ndukii! Basi mmama unamsikia "mwanaume huyo!" Inakera sana aisee! Eeeh! Tutafute pesa jamani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom