Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,610
- 71,185
Nitakujuza soon๐๐๐๐๐๐ndiyo sababu nimeomba KUJUZWA.
Nitakujuza soon๐๐๐๐๐๐ndiyo sababu nimeomba KUJUZWA.
wafanye wenye njaa ya ndoaMwanamme akitaka kuoa atapata wa kumuoa but mwanamke unaweza taka kuolewa usipate wa kukuoa. Kutokana na hilo ukipata pakushikilia hakikisha unaonesha nia njema ili upate wa kukuoa. Nia yako ya kutwariwa ndiyo mkataba wako but kama mwanaume huyo ni danga lako tu hakuna haja ya kujihangaisha na uchafu wake maana wewe umefata mapesa tu. Sijui umenielewa mkuu?.
Hao ni wahenga mkuu.Wahenga wanasema kisicho chako sio riziki huenda ningemtoa kwenye ukiritimba ila kwa maana hajaniona angeenda kuoa mwingine hapo kingeniuma so ukiona mtu sio msafi kwa kitu fulani mwache tu nenda mpaka ukute mtu sahihi.
Bellow 28 years old kila mwanamke hana njaa na ndoa but above that stress mtupu zinajaaa. I hope you under 20 years.wafanye wenye njaa ya ndoa
unatakiwa kujiongeza kidogo...akija anakuta boxer kama 10, soksi pea 10, mafyumu zile za laki tatu kama mbili...mitoko ya kileo.... maji ya kuoga kwenye beseni kama lote....deku wenzako hapa.....mwanaume matunzo!!Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
๐คฃ๐๐๐๐๐Haya yote unatusimulia baada ya kuachwa, zama zile mapenzi moto moto huko kunakonuka na kutonyolewa ulikuwa ukikunyonya na kukulambalamba
Siku zote huwezi kukuta mambo yapo sawa kama ulivyotarajia ila unaweza kuwa chachu ya mabadiliko ilipaswa umpe darasa nini afanye ili angalau siku nyingine ukienda geto kwake usikereke na hiyo hali ya uchafu.Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
Na akija kuoa mwingine nope kisisho riziki hakilikiSiku zote huwezi kukuta mambo yapo sawa kama ulivyotarajia ila unaweza kuwa chachu ya mabadiliko ilipaswa umpe darasa nini afanye ili angalau siku nyingine ukienda geto kwake usikereke na hiyo hali ya uchafu.
Inaonekana hukumpenda kwa dhati.
Kwahiyo hukutaka kumbadilisha kisa atakuja kukuacha aoe mwingine??, kwanini utengeneze negative perception mapema??Na akija kuoa mwingine nope kisisho riziki hakiliki
Aoe tuKwahiyo hukutaka kumbadilisha kisa atakuja kukuacha aoe mwingine??, kwanini utengeneze negative perception mapema??
Ungembadilisha tu hata mngekuja kuachana angekukukumbuka kwa wema uliomfanyia mwisho wa siku naye angekuja kuwa member hapa jf akutolee sifa
Unaweza kumpata msafi wa mwili na sehemu anayokaa ila sio msafi wa nafsi na roho, kwahiyo pia chukua taadhali usije ukahisi uliyemkuta msafi hawezi kubadilika baadae akaja kuoa mwingine