dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,220
- 54,863
wanaume wasafi , wachunguze vizuri wana element za ushoga
Wewe kwangu umejiwekea ratiba gani hadi mimi nijiwekee ratiba ya kufanya usafi kwako
Unakifahamu kiswahili cha kisukuma?
Kuhakikisha hukosi unachohitaji on time..hiyo ndio ratiba yangu kuu.Wewe kwangu umejiwekea ratiba gani hadi mimi nijiwekee ratiba ya kufanya usafi kwako
Kuhakikisha hukosi unachohitaji on time..hiyo ndio ratiba yangu kuu.
wengi tuuJe ni wanaume wangapi wanafanya hivyo??
🤓🤓🤓🤓🤓🤓 mdekie baharia ww acha uvivu.Mkisema hivi basi kila mwanaume atajifanya mchafu ili mwanamke wake amsafishe ptuu acheni uchafu huko hovyoo
Hapana. Mimi mkongomani. Tena wa lubumbashi, nilijifuza kiswahi nikiwa na wanajeshi wa Tanzania huku wakilinda AmaniWe msukuma
Vyema, hata mimi hapa nafanya makusudi tu mutu ya watuNdiyo ila hao si wanafanya makusudi tu?
Akina fudenge!
haya mutu ya Kongo, kwa hiyo upo Kongo?Hapana. Mimi mkongomani. Tena wa lubumbashi, nilijifuza kiswahi nikiwa na wanajeshi wa Tanzania huku wakilinda Amani
Wewe kwangu umejiwekea ratiba gani hadi mimi nijiwekee ratiba ya kufanya usafi kwako
haya mutu ya Kongo, kwa hiyo upo Kongo?
Atasubiri sana!mdekie baharia ww acha uvivu.
HayaVyema, hata mimi hapa nafanya makusudi tu mutu ya watu
Unajikuta humpeeendii mwenyewe, akati kila ukienda kwake unakata nyuno sakafuni 😂😂😂Atasubiri sana!
Ulishindwa kuisimamia sehemu yako kwake mkuu.Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
Mmh hapanaUlishindwa kuisimamia sehemu yako kwake mkuu.
Ulishindwa mkuu,Mmh hapana
Wahenga wanasema kisicho chako sio riziki huenda ningemtoa kwenye ukiritimba ila kwa maana hajaniona angeenda kuoa mwingine hapo kingeniuma so ukiona mtu sio msafi kwa kitu fulani mwache tu nenda mpaka ukute mtu sahihi.Ulishindwa mkuu,
Endapo ungeamua kumbadilisha leo hii usingeandika uzi kama huu.