Nawachukia wanaume wachafu

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.

Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.

A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.

Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .

Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU

jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .

Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.

C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.

Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.

Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
 
utamlaumu nani maisha umeyakosea mwenyewe?
 
Nawe ni kachangu, huyu ni boyfriend wako wa 15 unatusimlia. Ukifika 25 utavunja rekodi ya wema. Tatizo litakuwa mikojo kama hii
84BC73A5-1102-4F9F-8DFE-B58CF163CA8C.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom