Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,381
- 40,429
Ukiwa nacho toa
Hahahahah ukome kulokota lokota namba hovyoNimekutana nayo mda huu sasa hivi
Hahahahah demu hakwambii hakutaki! Unakula virungu mpaka unafuta namba mwenyewe 😅😅😅Na wengine hiyo ndio gia yao ya kuondowa usumbufu, unapigwa kirungu hurudi tena usumbufu unaishia hapo, siyo kila ukimuona mtoto wa watu yupo online tayari unademka, na wao wamepata njia mbadala ya kuondowa usumbufu.
hio nayo inakua win win situation ahahhaMi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.
Wengine ndio starehe yao
Hahahahahaha dah hii dharau imezidi viwangoAkili za kitoto hizi, kwamba single mother wote wana hali ngumu za kiuchumi? Si kweli wapo wengi tu wana kazi zao nzuri tu na wana biashara zao super tu, na wana jeuri ya kukufanya wewe kuwa sex toy yake na akakuhudumia vilevile shida zako ndogondogo.
Hivi mnajua kwa watu ambao hawajawahi fika Arusha hawatoelewa hii kitu mnaita 'kulokota??Hahahahah ukome kulokota lokota namba hovyo
😅😅😅😅😅 heheheh pisi ya chugga banaHivi mnajua kwa watu ambao hawajawahi fika Arusha hawatoelewa hii kitu mnaita 'kulokota??
Jamani ni KUOKOTA na sio Kulokota.
Unaambiwa beby huyu si mwanao piaMnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtoto wake aniite baba nilipambana hadi tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na singo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watoto wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.
Power words wapi? sheikhWakiliwa tigo wanaanza kulalamika.
Mara eeeh wanaume wa siku hizi wanapenda sana tigo.
Mkali wa single maza katika ubora wako..... Kudos mwamba pambania!!!Akili za kitoto hizi, kwamba single mother wote wana hali ngumu za kiuchumi? Si kweli wapo wengi tu wana kazi zao nzuri tu na wana biashara zao super tu, na wana jeuri ya kukufanya wewe kuwa sex toy yake na akakuhudumia vilevile shida zako ndogondogo.
mwombe tena fasta kbl hajapoa!!Umeombwa hela tu.ndo unalalamika mpaka jf
hahahahahahaHapa kitaa kuna machalii kama watatu walimtongoza demu mmoja na wote demu akawakubalia sasa ile tupo kijiweni tunapiga stori mmoja akatumiwa sms na huyo demu anaombwa elfu 5 tu , akatuonyesha ile sms Sasa Cha ajabu wale wana wawili walivyoonyeshwa wakashtuka mmoja akasema mbona na mm huyo ni demu wangu na kanitumia hiyohiyo sms tena hata hajaedit na shida aliyoniambia ndo hiyo hiyo, Mwingne nae akacheka tu akasema na mm nae ni manzi yangu kanitumia sms hiyo hiyo akatuonyesha ikabidi tucheke tu.
ila nimegundua sahiv mademu hawaombi hela nyingi ila wanaomba hela kidogo kidogo kwa wanaume wengi hapo inawezekana ana wengine pia kawatumia hiyohiyo sms tena anaforward tu wala haandiki nyingine mkimtumia buku 5 watu watano ana 25k kwa siku hawana tofaut na wale matapeli wa ile hela tuma kwa namba hii.
Issue siyo mkali wala mpole, mimi mbona naona mademu kibao tu wanaspend pesa zao na wanaume?Mkali wa single maza katika ubora wako..... Kudos mwamba pambania!!!
Acha kutongoza wanawake masikini wewe,upgrade your game!Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi mtaani.
Naomba hela ya kula.
Naomba hela nikasuke.
Mwanangu anaumwa.
Naomba hela ya mchezo.
Yani MNABOA Sana Sana hamjui tu. Mi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.
Superbug
Mateso sana.Yaani hii unaeza kuwa unamkusanyia mtu 50k weekly. Bado hamjaenda kupiga masanga na kitimoto. Kweli tumeubwa mateso!!