Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,630
2,000
Akili za kitoto hizi, kwamba single mother wote wana hali ngumu za kiuchumi? Si kweli wapo wengi tu wana kazi zao nzuri tu na wana biashara zao super tu, na wana jeuri ya kukufanya wewe kuwa sex toy yake na akakuhudumia vilevile shida zako ndogondogo.
Hahahahahaha dah hii dharau imezidi viwango
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,475
2,000
Hapa kitaa kuna machalii kama watatu walimtongoza demu mmoja na wote demu akawakubalia sasa ile tupo kijiweni tunapiga stori mmoja akatumiwa sms na huyo demu anaombwa elfu 5 tu , akatuonyesha ile sms Sasa Cha ajabu wale wana wawili walivyoonyeshwa wakashtuka mmoja akasema mbona na mm huyo ni demu wangu na kanitumia hiyohiyo sms tena hata hajaedit na shida aliyoniambia ndo hiyo hiyo, Mwingne nae akacheka tu akasema na mm nae ni manzi yangu kanitumia sms hiyo hiyo akatuonyesha ikabidi tucheke tu.

ila nimegundua sahiv mademu hawaombi hela nyingi ila wanaomba hela kidogo kidogo kwa wanaume wengi hapo inawezekana ana wengine pia kawatumia hiyohiyo sms tena anaforward tu wala haandiki nyingine mkimtumia buku 5 watu watano ana 25k kwa siku hawana tofaut na wale matapeli wa ile hela tuma kwa namba hii.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,630
2,000
Mnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtoto wake aniite baba nilipambana hadi tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na singo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watoto wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.
Unaambiwa beby huyu si mwanao pia
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
9,327
2,000
Akili za kitoto hizi, kwamba single mother wote wana hali ngumu za kiuchumi? Si kweli wapo wengi tu wana kazi zao nzuri tu na wana biashara zao super tu, na wana jeuri ya kukufanya wewe kuwa sex toy yake na akakuhudumia vilevile shida zako ndogondogo.
Mkali wa single maza katika ubora wako..... Kudos mwamba pambania!!!
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,511
2,000
Hapa kitaa kuna machalii kama watatu walimtongoza demu mmoja na wote demu akawakubalia sasa ile tupo kijiweni tunapiga stori mmoja akatumiwa sms na huyo demu anaombwa elfu 5 tu , akatuonyesha ile sms Sasa Cha ajabu wale wana wawili walivyoonyeshwa wakashtuka mmoja akasema mbona na mm huyo ni demu wangu na kanitumia hiyohiyo sms tena hata hajaedit na shida aliyoniambia ndo hiyo hiyo, Mwingne nae akacheka tu akasema na mm nae ni manzi yangu kanitumia sms hiyo hiyo akatuonyesha ikabidi tucheke tu.

ila nimegundua sahiv mademu hawaombi hela nyingi ila wanaomba hela kidogo kidogo kwa wanaume wengi hapo inawezekana ana wengine pia kawatumia hiyohiyo sms tena anaforward tu wala haandiki nyingine mkimtumia buku 5 watu watano ana 25k kwa siku hawana tofaut na wale matapeli wa ile hela tuma kwa namba hii.
hahahahahaha
aim Lucha meeeen!
She is Queen of lies madafuck'n bitch go hell!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
(In Eddy Murphy voices)
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,509
2,000
Mkali wa single maza katika ubora wako..... Kudos mwamba pambania!!!
Issue siyo mkali wala mpole, mimi mbona naona mademu kibao tu wanaspend pesa zao na wanaume?

Au tatizo liko wapi? Kwanza mimi sipo kwenye mapenzi marafiki zangu tu wa kawaida wa kike wakiwa njema huwa wananipigia simu kabisa tukutane kwenye vijiwe vyetu vya kukemea uzee, halikadharika i do the same.
 
LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,271
2,000
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi mtaani.

Naomba hela ya kula.
Naomba hela nikasuke.
Mwanangu anaumwa.
Naomba hela ya mchezo.

Yani MNABOA Sana Sana hamjui tu. Mi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.

Superbug
Acha kutongoza wanawake masikini wewe,upgrade your game!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom