Nawachukia ma DOKTA na MAPOLISI

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Kwakweli hawa watu nawachukia sana ndani ya moyo wangu wote. Hospital ya serikali ,vitanda vya serikali, dawa za serikali + mnalipwa pesa nzuri tu . BADO MNATAKA RUSHWA TENA KWA WAGONJWA MAHUTUTI, polisi nao wamegeuza uniform zao na ofisi kuwa vijiwe vya kujipatia hela. Moyo unaniuma sana.
 
Bora rushwa yeyote kuliko hii ya madokta.....kumbe kutibu watu ni ndani ya uwezo wao . Lakini Bado wanataka rushwa. BORA HATA ALIYEUZA TWIGA KULIKO MA DOKTA WA TZ
 
Means ikitokea ajali au akiletwa mgonjwa aliye hoi wao wanashangilia . Why isipitishwe adhabu ya kifo kwa aina hii ya watu
 
Mtu hajitambui . Kavunjika lets say kichwa, mgongo, taya. Uwezo wa kumtibu unao .unachekelea unaona deal . Unatangaza rushwa ili umtibu tena bila aibu
 
Hivi hata ikija chadema ndio ma dokta wataacha kuomba rushwa kwa wagonjwa, kuwanyanyasa na kuwaringia?
 
chuki haitaondoa tatizo, mfumo mzima ndio unachangia.
Fanya utafiti kabla ya kujenga chuki.
Hakuna kiongozi wa juu wala watu wenye uwezo wanaoathirika na huduma duni za hospitali na polisi zetu.
 
kipindi hiki cha skukuu hata kutoka ni kero kila hatua kadhaa unapigwa mkono na trafiki wanatafuta mpunga wa sikukuu......

Hospotali za serikali hususanz temeke sina hamu nayo, mgonjwa wangu alitakiwa apigwe xray nikaambiwa mbovu (hapa nailaumu serikali ya kifisadi, pesa wanakwapua wao wanatibiwa india sie tunakufa) nikaambiwa niende hospitali ya masawe kupiga, kweli alipiga kurudi nayo daktari akatuambia yupo busy sana hawezi kuisoma......... Wodini manesi wakatuibia dawa 2 na cannula 6 sina hamu nao
 
tatizo mfumo mzima umeoza unanuka kuanzia ngazi ya juu kabisa mpaka ya chini...... Nani atamfunga paka kengele?
 
Huna haja ya kuwachukia Madaktari , ni watu wema sana , gharama nyingi unazotozwa hospitalini madaktari wale wanokutibu hawahusiki nazo kabisa kabisa , hayo mambo kidogo ya rushwa yasikufanye umlaumu kila mtu , madaktari wa Tz wanafanya kazi katika mazingira magumu ,mabaya na mabovu kabisa , ni kama wanajitolea tu, wanastahili kupongezwa badala ya kushutumiwa ,upande wa polisi nakuunga mkono hakuna asiyejua mambo yao .
 
halafu kulaza wagonjwa wawili wawili kitandani...........

Hivi hizo hela za epa, richmond na wadogo zake si zingetosha kuboresha hospitali??????? Its a shame kuona hata oxygen tmk hana!!!!
 
Mimi naamini hata wewe ofisi yako ni rushwa. Hivi kuna ofisi isiyokuwa na rushwa kweli nchi hii?
 
Sio kila daktari ni mla rushwa, rushwa imekuwa saeratani katika inchi yetu..
Chukia wala rushwa, pambana na wala rushwa, jenga inchi yako

usichukie wanataaluma sio wote wachafu
 
Tujadili kama Great Thinkers, kwa mtazamo wangu ungesema kuwa, NAWACHUKIA MADAKTARI NA POLISI wenye tabia ya kuomba rushwa!
 
Bora rushwa yeyote kuliko hii ya madokta.....kumbe kutibu watu ni ndani ya uwezo wao . Lakini Bado wanataka rushwa. BORA HATA ALIYEUZA TWIGA KULIKO MA DOKTA WA TZ

failure ya kusoma medicine isikufanye uwachukie waliofanikiwa. Wachukie walosababisha systema iwe hivyo.
 
Unajua chuki zingine hazina faida. Inaonekana ukikumbuka kwamba ulishindwa kuwa daktari kwa ukilaza wako unaanza kuwaandikia thread jf. Usiwe kama ze marcopolo aliyerudi mweupe na vi degree vyake vya nje akaishia kuitwa chinja chinja. Baada ya hapo akakimbilia siasa za maji taka na kuanza kuwatukana madaktari. Doctors are gifted people kama mfumo usingekuwa wa kukomoana kama wa kina pinda mngefurahia huduma za afya. Aafu pia mjue unapokuja na mgonjwa wako usinilazimishe nifanya unavyotaka wewe, ndo maana mnaombwa rushwa kwa sababu huwa nnataka sana njia za mkato.
 
halafu kulaza wagonjwa wawili wawili kitandani...........

Hivi hizo hela za epa, richmond na wadogo zake si zingetosha kuboresha hospitali??????? Its a shame kuona hata oxygen tmk hana!!!!

pole for ur case. Mbaya zaidi hata walopewa administrative posts ni watoto wa vigogo kwa siku zote wanaongea uongo. Wakiulizwa leo wanasema vipo wakati hakuna kabisa. Nchi inahitaji kubadilishwa mfumo mzima kwani vilaka haviifai tena!
 
Back
Top Bottom